Raia wa Cameroon mbaroni kwa kukutwa na dola feki

mzenjiboy

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
907
383
Raia wa Cameroon ametiwa mbaroni nchi za falme za Kiarabu (UAE) baada ya kukutwa na dola feki zenye thamani ya milioni kumi.

Matapeli hayo wametajana na wote kukamatwa.

Hapa nauliza suali : kwa nini picha za wahalifu hufichwa sura zao badala ya kuachwa wazi ili kila mmoja akamuona ? ImageUploadedByJamiiForums1428947390.888158.jpg
 
Back
Top Bottom