Hapo kwenye RED, mkuu si ungeuliza? Siku nyingine uliza kwanza kwa nini ilikuwa hivyo na si vile.well said
tatzo kenge wanaofuata mkumbo hawataki
tundu lisu ana dada yake mule amepewa kimagumash magumash,hatukatai mbunge kua na nduguye mbunge la hasha,swali ni jins walivopatikana kwa zengwe,
alipofarik marehem regia tunashangaa mrith wake chadema badala ya kumtoa kule moro wao wanakimbilia uchagan,
af jaman tuwe serious hili suala la kumpa mtu nchi nalo sio dogo hili??
Mtu kama mbowe ninampaje mamlaka ya nchi jaman?nimpe et kisa tuh anaweza kuzishupulia kesi za uozo wa mafisadi wa ccm au weledi wake wa uongoz na taadhima yake?
Chadema wana mengi ya kufanya ili kuqualify kuingia state house,wajipange had 2020/2025
ila kwa huu unaokuja waingize wabunge wengne wengi,then huo unaofuatia ndio tuangalie wako imara kias gan
waondoe ukabila,waondoe ukanda,waondoe udini n.k,ni vitu kama hivo vimeigharim cuf had kuporeza trust kwetu na kuonekana kama kibaraka
unajua kuwa lula wa ndali mwananzela ndie Mzee MwanakijijiNdali Mwananzela, kamanda wetu naona umeamua kufunguka.
well said
tatzo kenge wanaofuata mkumbo hawataki
tundu lisu ana dada yake mule amepewa kimagumash magumash,hatukatai mbunge kua na nduguye mbunge la hasha,swali ni jins walivopatikana kwa zengwe,
alipofarik marehem regia tunashangaa mrith wake chadema badala ya kumtoa kule moro wao wanakimbilia uchagan,
af jaman tuwe serious hili suala la kumpa mtu nchi nalo sio dogo hili??
Mtu kama mbowe ninampaje mamlaka ya nchi jaman?nimpe et kisa tuh anaweza kuzishupulia kesi za uozo wa mafisadi wa ccm au weledi wake wa uongoz na taadhima yake?
Chadema wana mengi ya kufanya ili kuqualify kuingia state house,wajipange had 2020/2025
ila kwa huu unaokuja waingize wabunge wengne wengi,then huo unaofuatia ndio tuangalie wako imara kias gan
waondoe ukabila,waondoe ukanda,waondoe udini n.k,ni vitu kama hivo vimeigharim cuf had kuporeza trust kwetu na kuonekana kama kibaraka
hili mimi siliafiki,kwani kama simply watu wanaipenda cdm kwa kukosa mbadala basi kwa nini isipendwe tlp,cuf au nccr?.Tusiwape wananchi level ndogo namna hiyo ya uelewa.Naamini kuwa si kukosa mbadala bali ni sera na mwelekeo wa cdm ndo unawafanya wananchi wazidi kuipenda cdm.
Kwa maana hiyo, mwisho wa kuchukiwa CCM ndio pia mwisho wa kupendwa Chadema au? Naomba ufafanuzi.
Unapata wapi ujasiri wa kuuona UDINI wa CHADEMA na kuufumbia macho UDINI wa ccm? Ukisema CHADEMA ni wadini (Wakristo), lazima ccm itakuwa opposite na hli linatokana na
ukanda....Kama unadai CHADEMA YA KASKAZINI, unapata wapi KIGUGUMIZI kusema kuwa ccm ya Pwani, na Tabora?
Acha ujinga na ufinyu wa mawazo, yaani sera ya UDINI Iliasisiwa na KIKWETE MWENYEWE na nyie mnaishuparia na kuwafanya CHADEMA tuonekane wadini na wakanda. Mwenyekiti wa ccm ndiyo MDINI MKUBWA HAPA NCHINI. Sasa kama KIKWETE NI MDINI, TENA MUISLAMU....CCM inajinasua vipi na UISLAMU? Unakumbuka matamko yaliyotolewa na Maaskofu na mashehe wakati wa mgogoro wa meya arusha? Kama chadema Wakristo, CCM waislamu....yote haya ameyaleta Kikwete kwa uroho wake wa madaraka, analifahamu hilo na bila hilo asingeliweza kushinda kwa mizengwe uchaguzi wa 2010.
Na nani aliyekudanganya wananchi wanaipenda chadema? wanaoipenda chadema ni wafuasi wachache wanaifata kwa ukabila na udini wao.
thinking capacity ya form four failure
people who are smart doesnt think in this way
the only liberation for our beautiful tanzania is KATIBA BORA N IMARA
NA WALA SIO KELELE ZA SLAA NA MBOWE DHIDI YA UFISADI WA CCM NA UOZO WAO
MBONA WANAPOGA KELELE TUH,NJIA MBADALA ZA KUBADILISHA HALI HALIZI MBONA HAWATOI KWENYE KAMPEN ZAO?AU WEWE HUENDI KUSKILIZA WANAPONAFI SERA ZAO?
Naona unaongea kwa jazba sana ila hazibadilishi hali halisi iliyopo chadema katika utaratibu wa kupata viongoz wao hasa hasa waandamiz wa chama,kilichojificha mioyon mwao ni kikubwa sana
tuna iman nao ila sio kwa kias cha kuwapa nchi hii kirahis ivo,bora hawa mafisadi tunajua tutatumia njia ya kura kuwaadhibu,na kuwaonesha chuki yetu waz waz,hao tusiowajua ya kwao yaliyofichika tunajiandaa nao vip?
Wafuasi wa ccm kwa kias kikubwa ndio wanaowapa nguvu chadema,madudu ya ccm wanayoyafanya yakiondoka chadema wakacheze segere
tanzanians we r not such dumb..!!
Kwa maana hiyo, mwisho wa kuchukiwa CCM ndio pia mwisho wa kupendwa Chadema au? Naomba ufafanuzi.
Na nani aliyekudanganya wananchi wanaipenda chadema? wanaoipenda chadema ni wafuasi wachache wanaifata kwa ukabila na udini wao.
too bad in deed if that is where elastic point of ur thinkin capacity has reached its end..Kama hoja yako ni ya kweli, basi CDM kinapendwa sana na Watz wengi. Kwa sababu kama wanapendwa sana na watu wa dini basi ni dhahiri kwamba wanapendwa na watu wengi kwasababu watu wenye dini Tz ni wengi zaidi ya watu wasio na dini. Na kama wanapendwa zaidi na watu wenye mitazama ya kikabila basi ni dhahiri kwamba CDM wanapendwa na watu wengi zaidi kwasababu mikoa inayokaliwa na makabila makubwa Tz yanamlenga wakuipenda cdm mfano Mwanza, Dar, Shinyanga, Arusha, Mbeya.... Kwa hiyo uko sahihi kwa kauli yako hiyo, japo haina masilahi kwa chama chako kinachopiga mbio kuelekea kaburini.
R.I.P CCM-Tulikupenda sana lakini shetani amekupenda zaidi akakutwaa. Jina la CDM libarikiwe!!!
"CHADEMA isichezee wala kuchukulia kiurahisi wakati wake huu wa kupendwa na wananchi. Isije kujidanganya kuwa itaendelea kupendwa vyovyote vile. Viongozi wake wasije kujivika kilemba cha ukoka wakiamini kuwa wanapendwa kwa sababu wao ni vijana, wanazungumza vizuri, wanavaa magwanda vizuri n.k.
Wajue kabisa wanapendwa kwa sababu watu wameamua kuikataa CCM na mambo yake yote. CHADEMA hawawezi kudai kuwa ni haki yao kupendwa au kuungwa mkono kwani historia ina mafunzo mazuri kweli si hoja mtawala anapendwa vipi, siku moja anaweza kuchukiwa. " Gazeti Raia Mwema ikiandikwa na LULU WA NDALI MWANANZELA