Raia ajinyonga kwa kamba mjini Morogoro

Raia ajinyonga kwa kamba mjini Morogoro

Ninamjua huyu bwana Jina lake ni Cornad Mlingi...Mchagga wa Kirua Vunjo Moshi! Aliwahi kupata matatizo ya akili kwa vipindi viwili tofauti though alikuja ku-recover but who knows? R.I.P bro Cornad though hakuan fantasy way ya kuondoka duniani ila yako imetuachia maswali mengi!

Huyu bwana kuna tetesi kuwa rafiki yake mwandani wa karibu alikuwa anakula mkewe. Alipobaini na kuthibitisha hilo, uwezo wa kufikiria ukapotea na ikawa ama kuua au kujiua.
 
Hivi unajua ukiwa na kiu ukiangalia mbalii unaona kama kuna maji?
Unajua nini mpwa, kuna mkaka alifariki, tukaenda kumuona mochwari, mie nikamgusa eneo nyeti nikakuta uume umesimama wima, nikauliza, wakasema eti sababu alijinyonga.
Hebu ulizia kwa wenzako huko.
 
Nasikia, nimesema nasikia mwanaume akijinyonga eti uume unasimama!
Hivi ni kweli.

mhhh kwanini ulimshika huko??its common kwa case zinazohusisha violent, au quick deaths kupata hiyo kitu au wanaopata kifo kutokana na spinal injuries...hata wanawake wanaokufa hivyo kinembe kinadinda na mashavu yanavimba
 
Uchunguzi wa kina ufanyike. Matukio mengi watu wanauawa na kisha kutundikwa kwenye miti. Raia wavivu wa kifikiri huja na conclusion rahisi kwamba mtu amejinyonga. Ulimuona wakati anajitundika?
Kinachotakiwa hapo ni kusema MTU AMEKUTWA AKINING'IA KWENYE MTI.
Uchunguzi wa kijinai wa Polisi makini ndio utakaotoa jibu la kilichotokea.
Ujinga wetu ndio hatma yetu.
 
hii pia inawezekana, unaweza sema kajinyonga kumbe kanyongwa akatundikwa, haya matukio yawe yanafanyiwa uchunguzi wa kina
 
Mpaka mtu anafikia hatua ya kijinyonga ujue uwezo wake wa kufikiri ulishafikia kikomo akaona bora achukue huo uamuzi.
 
mhhh kwanini ulimshika huko??its common kwa case zinazohusisha violent, au quick deaths kupata hiyo kitu au wanaopata kifo kutokana na spinal injuries...hata wanawake wanaokufa hivyo kinembe kinadinda na mashavu yanavimba

Hahaha!
Haya bhana.
 
Uchunguzi wa kina ufanyike. Matukio mengi watu wanauawa na kisha kutundikwa kwenye miti. Raia wavivu wa kifikiri huja na conclusion rahisi kwamba mtu amejinyonga. Ulimuona wakati anajitundika?
Kinachotakiwa hapo ni kusema MTU AMEKUTWA AKINING'IA KWENYE MTI.
Uchunguzi wa kijinai wa Polisi makini ndio utakaotoa jibu la kilichotokea.
Ujinga wetu ndio hatma yetu.

Mkuu, Hoja yako ni Muafaka. tatizo ni hao watu Uliotaja hapo. Unadhani watakuwa tayari kujisumbua kutafuta jibu la Kweli wakati Jibu rahisi lipo Mbele ya Macho yao??...mmmm, Sidhani.:A S 39:
 
Wangejisumbua iwapo angekua mtu mzito lkn kwa huyu sijui. Natamani police wa Enzi zileeeee
 
Back
Top Bottom