Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Mtei Kasema Zitto hatakiwi CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge Chama, Unachekesha sana.
we nenda kwenye jina lako,kata gogo na ulale. Tuachie Chadema yetu
 
Huyu Kamanda Mawazo sasa anazunguka kila kona kukitangaza chama anasifiwa na kila mtu, ukitaka uone Kamanda Mawazo hana maana hajaribu kugombea nafasi yoyote makao makuu.
 
Kamanda Mawazo samahani hivi Chadema wanakulipa?

Chadema hewa tunatoa hela sio kupewa hela,makamanda huwa tunapiga kazi na huku tunachangia hela au vitu . na hapo ndo tofauti ilipo kati ya maccm na chadema . kumbuka chadema tunahitaji uzalendo zaidi na sio tamaa ya kulipwa.
 
hivi wewe unadhani juhudi zako za kuijenga chadema zinazidi zile alizokwishazifanya zitto?- wewe unapata platform ya kuzungumza kwa sababu ulishajengewa mazingira na akina zitto otherwise asingekusikiliza mtu

mavi ya kale hayanuki .
 
Zitto kaijenga cdm au cdm ndo imemjenga zitto?!!! Lini zitto alifanya ziara zake za kuizunguka tanzania kueleza uhalisia wa hali ya nchi na kutoa elim ya uraia kiujumla wake hata kufikia robo ya mawazo?

hujitambui wewe dekio
 
Zitto kaijenga cdm au cdm ndo imemjenga zitto?!!! Lini zitto alifanya ziara zake za kuizunguka tanzania kueleza uhalisia wa hali ya nchi na kutoa elim ya uraia kiujumla wake hata kufikia robo ya mawazo?

hujitambui wewe dekio-siku ukikamuliwa ndo utawajua hao wazinzi
 

kamanda tunakushukuru sana kwa kuheshimu maamuzi ya kamati kuu .
 
J.mosi tumefungua matawi matatu kwa sherehe kubwa Mlimba,j.pili Ruaha kulikuwa na mkutano mkubwa.zito siyo issue vijijin
 
Piga mkutano pale Mwang'holo pia cdm iko juu pale niliizika CCM pale,kawatie moyo zaidi

Poti Safi sana,ila nikumbushe Mwang'holo ipo wapi vile.unelekea shagihilu,Mwakipoya au njiani ya tatu Mwangongo?
 
Huyu Kamanda Mawazo sasa anazunguka kila kona kukitangaza chama anasifiwa na kila mtu, ukitaka uone Kamanda Mawazo hana maana hajaribu kugombea nafasi yoyote makao makuu.

wanamdanganya na yeye anadanganyika, anataka cheo cha ZZZK, hata hii post yake mi kutaka watu wajue uupo wapi-amewah siku moja kujipigia chepuo la Naibu Katibu Mkuu
 
Zzk ndo kajengwa na chadema we pusi.
 
Kamanda mawazo piga kazi kamanda...tuko sambamba na wewe...Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri ya ukombozi.
 

Wewe mchaga??

wenzako waliingia kwa mbwembwe kama hizi

unachofanya ni utapata ubunge, ruzuku itaongezeka wenzako wanapiga hela........

Mbowe hata umpe ikulu hii na kiti cha urais hiki...............HANA MPANGO WA KUWA RAIS,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…