Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Unaweza kuizika CCM nyuma ya keyboard?

Unadhani sisi makamanda ni kama nyie mnaokusanyana kwenye koridor za hapo lumumba fc kupost uharo kwenye mitandao ya kijamii? tupo field na wananchi tena maskini kabisa vijijini tunawapa elimu ya uraia kila siku baada ya shughuri za uzalishaji mali.hatuishi wala kutegemea buk 7 kama nyie watumwa wakubwa!
 
Umenena kweli Zitto anajulikana twitter na facebook na mfuasingono wake Sarungi. Weka msingi kamanda Mawazo.
 
Kmanda mawazo MUNGU AKUBARIKI SANA, AKUTIE NGUVU NA AKUHIFADHI JUU YA MAADUI WAKO WOTE, HAKIKA UTABAKI MIOYONI MWA WATZ MILELE KWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO YA UKWELI TZ NA ISHARA YA KUPIGANIA HAKI TZ NA DUNIA KWA UJUMLA, KWLEI UMESEMA VYEMA KWA MISUKULE WA CCM NA WASHIBIKI WA HUYU MSALITI ZITTO, KWAMBA TUTAWANYIKE NCHI NZIMA KUJENGA TUMAINI JIPYA LA KIZAZI KIPYA CHA TZ 2015 NA KUENDELEA, HAKI ITATAWALA MILELE.
Safi sana kamanda, tunapenda sauti hizi zipazwe zaidi na zaidi!
 
haya kamanda endelea kuzitafuna posho hizo
 

ukamanda mnaishia kutumwa vitumbua hapo lumumba huku wenzenu wanazoa ruzuku kama wevi
 
Umevurugwa wewe! kwa akili zako za kigambagamba unadhani unaweza kumkatisha tamaa kamanda wa ukweli kama mawazo? kwanza usimlinganishe na huyo mamluki,mpenda sifa anayeshabikiwa na magamba.

ha ha ha naionea huruma hiyo keyboard inavyotomaswa kwa hasira hujafunga shule tu?
 
Tanzania kuna chuo kinaitwa Mount Meru? Mbona sikioni kwenye orodha ya best 500 Univrsities in Africa? Kipo wapi? Maana ni kigeni Kwangu......
 
Kamanda Mawazo nipm nikutumie pesa ya mafuta.

mkuu umtumie mafuta wakati anatumia ruzuku au anajitolea? maana kama hatoki kaskazini lazima atakuwa anajitolea huku wenzie yale ma hilux ya M4C wanatanulia kwenye vibanda vya kitimoto
 
Mawazo endelea kupatwa na mawazo! Hiyo misingi siyo agenda ya CDM wao agenda zao kuu ni,

Mosi, Kupambana na ZZK kwa udi na uvumba!

Pili, kuimarisha Kanda bila hata ya kuwa na misingi! Yaani kujenga ghorofa foundation ya mabua!

Full stop!
 
Kila lenye Kheri KAMANDA MAWAZO,naona humu JF yamejaa magamba kila hoja zetu wanaingilia hata ka hayawahusu. Mbwa tu wa mwigulu chemba la mavi hawa,wauawaji wakubwa.
 
Pole Mawazo chama wamekususia Hiki maana kuna watu walipambana mara1000000000 ya wewe Leo hii wasaliti na wapo mahakamani wakidai haki Yao!

Wee ndio hata secretariat hutofika!
 
Piga kazi kamanda wangu usiache kuvitembelea vijiji vya Mwamashele, Mwamanota, Mwigumbi, Mwamadulu, Lagana(ukifika hiki kijiji utapata sapport kubwa sana..

Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

Mawazo kamanda wangu,nami nilikuomba upeleke Salam za ukombozi vijijini vya Mwakipoya,Ngeme, Malwilo,ukiweza nenda mpaka Bulimba.huko najua wanahitaji mtu wa kuwapelekea habari njema ya ukombozi wa taifa hili.nilikwahidi nitaungana nawewe muda si mrefu.
Hapo Mwakipoya ni maili 9 kufika Kishapu penyewe lkn barabara hiyo haijatengenezwa tangu Mbunge Marehemu mzee James Darasia,kipindi cha bunge la chama kimoja miaka ya 1981/1982.waliishia kuweka caravati na molamu kidogo,wakaendelea na upembuzi yakinifu, mchakato hadi leo barabara hiyo haijajengwa.
 
Hatuwaingilii Bali tunamtahadharisha Mawazo asije akapata Mawazo kisa mawazo mengi juu ya mawazo!

CDM hawana fadhila hao!
 
Wenzako wapo busy wakipambana na ZZK! Wengine hawajala tangia Jana jinsi walivyoumia!

Wengine wapo hoi taabani na pressure, wengine wapo hospital kwa pressure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…