Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Huyu Kamanda Mawazo sasa anazunguka kila kona kukitangaza chama anasifiwa na kila mtu, ukitaka uone Kamanda Mawazo hana maana hajaribu kugombea nafasi yoyote makao makuu.

hivi ww unafkria kwakutumia makalio eeh?? kusifiwa sio kupewa madaraka yote kila anaesifiwa akupewa madaraka kitakuwa chama hcho sasa CCM hamna katiba ya kueleweka ndo maana mnashindwa kuwajibishana mbona lowasa anafahamika nchi nzima lakin mnamkatalia kuchukua form ya urais?? mipango yenu na zitto imetimia muongezeni pesa annue hummer ya pili na nyumba dar estate nyingne ila yana mwisho endeleeni kusafirisha mizigo matumboni
 
Aminia Kamanda Mawazo.
Tujenge chama tuachane na mpuuzi Zitto.
 

hivi unataka kila mtu ashike madaraka kwenye chama kitatawalika kuwa mchapakazi co kigezo cha kupewa,madaraka mbona lowasa wa kaskazin na anajituma lakini mnamkatalia kuchukua madaraka?? mmemtumia zito ameharibu wacha wenye chama chetu tukiendeleze chama na chadema tunakwambia ukwel na tunakufukuza CCM ukiwa mchapakaz mnamuwekea sumu mumuue wapi mwakyembe, wapi wangwe(RIP), wapi mwandosya mnataka kuleta dhana ya ukabila angalia mbeya, mwanza, kigoma na ubungo ni wachaga?? umekunywa viloba lala upunzke kesho uamke na hangover uandike upuuz mwingne
 

Umetoa elimu ya kutosha,ndiyo maana wamemharibu zzk kwa kumhadaa vyeo,wanawza vyeo tu.
 

Thanks,kwani kuna watu wangapi duniani na kuna vyeo vingapi,hivi ni kweli kuwa wasio na vyeo si wachapa kazi?poor thinking...
 
Kamanda hongera kwa
kazi kubwa ya ukombozi uifanyayo. Ila kote upitapo wahimize sana kufanya
zoezi la chadema ni msingi coz ujenzi wa misingi ni wa muhimu sana
kuzidi hata mikutano ya hadhara. Kila la kheri wa ukweli.

Dr huo ndo msisitizo mkubwa...unakumbuka nilipokuwa kakola nilivyolisisitiza hilo,tuko pamoja.
 

Wanaumia wanapoona life goes on even after the dissapearence of zzk .
 

Utakubaliana na mimi kuwa katika maisha kuna wakati binadamu huwa ana kile kinachoitwa FEAR OF THE UNKNOWN,nakuapia hv niandikapo niko kijiji cha shagihilu,hawajui kinachoendelea kuhusu zito zaidi ya bei ya pamba yao kushuka
 
Mtei Kasema Zitto hatakiwi CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge Chama, Unachekesha sana.

Umeshatoka msalani? usije ukawa umesahau kuchamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…