Rai: Lowassa atishiwa kifo

Mchawi wetu tunamfahamu hatusumbui.
 
Azma yetu ya ikulu itatimia taka msitake.

Ahsante sana kwa kutuhakikishia kuwa azma yenu ya ikulu itatimia. Mkuu naomba utufafanulie kwa undani,

1. Ni nini hasa malengo yenu ya kuazimia kuingia ikulu?

2. Na mkisha kuingia ikulu tueleze taratibu mtakazotumia kutimiza malengo yenu?

Nitashukuru sana unipatia majawabu ya maswali hayo hapo juu.
 
Mkuu ocampo four kifungo kimeshaisha nyota ya matumaini inazidi kung'ara.
 
Last edited by a moderator:

Majibu yote wanayo wananchi wa Tanzania.
 
Acha afe kwani anafaida gani fisadi mkubwa huyu.

huna ubavu wa kumwondoa uhai binadamu mwenzio,only God can do that
by the way wewe una faida gani????????
 
acha tabia ya kishetani wewe.shetani pekee ndo anayeombe watu wafe utamtangulia wewe nyamaafu wewe

We nyambafu, usilitaje jina lashetani bure, nani kakwambia shetani anaombea watu wafe.

Kama ukiwa mtakatifu na ukifa unaenda mbinguni unadhani atakuombea ufe?
 

Haya ndio ya muhimu kijibiwa sio wanatumia nguvu nyingi kuingia ikulu halafu haiweleweki watafanya nini
 
Ni kosa tena kosa kubwa kumuua LOWASA, hata kuua mpiga debe ni kosa, itakuwa LOWASA, kila mtu afanye siasa zake sio mauaji
 
Lowasa angekuwa yupo humu Jf akaona hizi comment watu wanamvyochukia basi angepoteza pesa zake kuwahonga wahuni wa chache wanaompa moyo atakuja kuwa raisi wa Tanzania .kwani ameambiwa ikulu ni pango la mafisadi kama yeye raisi ajaye atatoka nje ya ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…