Rai: Kapuya asamehewe...!


wewe ni mchawi unadhihirisha kwamba wewe natembea hata na watoto wa miaka miwili you condone Kapuyas dead in the expense of an innocent girl you must be an evil
 
Hii picha itamletea shida sana Dokii na atajutia sana kupiga picha kama hii maana saizi lazima watu wanajua jamaa keshakula mzigo na kumpa miwaya kama alivyofanya kwa hako katoto ka miaka kumi na sita.

Dokii miwaya anayo kitambo...chezea celebrity. ...supa staaz wengi wagonjwa...
 
Laana na iwafike wote waliomdhumu huyu mtoto na wale waliokuwa na uwezo wa kumsaidia lakini wakaacha kufanya hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…