[emoji115] [emoji115] [emoji3] [emoji3] Hapo ukimnyang'anya kelele zake mpaka majirani watahisi kwa kipigo hicho mtoto atakufaUtamu mpaka kwenye kope
Anajaribu tokeo jipya LA sabuni,hongera yake mtafiti huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu kuna mijitu inasema kuna njaa!!
Nadhani Mkulu huku ndiko alikupata ile style ya orange juicy na pipi kifuaView attachment 463175 Nyingine hii
Dah! Akili za Utoto wanazijua wao