Niliacha kwenda kanisani na misikitini ka sababu: wasabato ni wanajifanya wanasayansi na kujifanya kuwa wao hawana shida maishan kilichoniudh zaid ni lile somo cjui la nchi za ngambo cjui la mataifa na kanisa halina milango.
2. Walokole kwa kunitoa hela ati maji ya baraka na vibahasha vya michango kama vyote na kuigiza ati wanaombea wehu, viwete, na vilema kumbe ni watu wao waliokochiwa,
3. Islam ni ubaguzi wakujiona wao ndio wao mara eti bikra 72 wanasubiri mtu akifa huko cjui mbinguni. Tangu lini Ali wa gongo la mboto,yusuph masanja wa ilemela ibra wa soweto akapangiwa vibikra na kwanza nani kwapanga hao vibikra.
4. Catholic ni baada ya kujua kua padre hawaoi lakini wao wanafungisha ndoa na kuhubiri pamoja na kushaur maswala ya ndoa. Nilitorokea dirishani hadi wa leo sijawai rudi.
5. Kkkt ni baada ya kugundua kuwa ni mtoto wa roma nkajua mtoto wa nyoka ni nyoka tu na sio kinyoka coz kama mtoto hakumsikiliza babake yeye akaasi atanihubiria nin yule
FREE Lissu ndo nimeanza glass ya kwanza ya konyagi