Hata simba akikosa nyama hula majani, % percent tall girls are the best in almost all sectors, labda kama umeongelea kwenye sekta moja ya mapenzi ambayo pia hu-differ from one person to another hata hao wafupi kuna wabovu, na pia inategemea na aina ya wanawake ambao huwa unakuwa nao/status. Huku mtaani/maofisini tunagombaniwaππ