Raha ya wanawake wafupi

Mie Mwanamme mfupi hata hani excite lol sijui namuonaje nahisi kama hata mambo yake hua mafupi fupi hana haraka ya maisha sijui namuonaje,sorry to say this..
 
Hujakutana na mrefu wewe, utajiliuza ulikuwa wapi kuhangaika na wafupi.
Ndugu ninakwambia hii ni reseach nimefanya mwenyewe.

Raha ya chungwa mpate mmenyaji na raha ya nazi mpate mkunaji.

Kusema kweli wanawake warefu wanaulemavu katika tendo la ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…