"Raha" ya Ubachela

"Raha" ya Ubachela

Nyie watu mbona mboga za majani hakuna kabisa kwenye hizi menu zenu au mnataka mpaka nije niwaandakie kuwa ule msosi ambao 50% ya msosi wako iwe mboga na matunda, then 50% inayobaki icomplise aina za diet nyingine, hebu acheni sedentary life hizo mtakufa na maheart disease bure.
 
kwene picha nilioeka kuna chinese cabbage kwene supu.. binafsi nachohofia ni upandaji wa hizi mboga, nahisi wanatumia mbolea za viwandani..au mbolea za samadi za makuku na mang'ombe yaliolishwa mikemikali..nifikiria kuanza kuotesha mboga zangu mwenyewe organically before it is too late.
 
kwa kifupi ubachela ni raha,
ila hapo kwenye misosi ndio huwa naumiza sana kichwa,
sipendi kula mgahawani na kupika vilevile mvivu ! ndio hapo chahcha kichwa kinaponiuma!
kweli maswala ya misosi ndio yatanifanya nivute jiko fwasta,
 
View attachment 67010
Hiyo ndio typical dina ya nanihii..
Cku akiamua kupika huwaga ni chapati 2 za Azam + supu ya lamb chop & mchanganyiko wa chinese cabbage, nyanya, pilipili hoho, pilipili kali, kitunguu, spices, chumvi + maziwa kidogo.
Halafu unamaliza Windhoek 2 baridi sana..
Life can't be better..
Safi sana. Fat Free
 
Itabidi uwe muangalifu sana...vinginevyo atakwambia mie hata kupika chai ya rangi sijui...tuajiri house girl anayejua kukaangiza.

kwa kifupi ubachela ni raha,
ila hapo kwenye misosi ndio huwa naumiza sana kichwa,
sipendi kula mgahawani na kupika vilevile mvivu ! ndio hapo chahcha kichwa kinaponiuma!
kweli maswala ya misosi ndio yatanifanya nivute jiko fwasta,
 
Best sikuwezi. Chai ya rangi ya kukaanga? Hehehe.
Itabidi uwe muangalifu sana...vinginevyo atakwambia mie hata kupika chai ya rangi sijui...tuajiri house girl anayejua kukaangiza.
 
Itabidi uwe muangalifu sana...vinginevyo atakwambia mie hata kupika chai ya rangi sijui...tuajiri house girl anayejua kukaangiza.

kweli umesema mkuu, watoto hawa wa kulelewa na mabeki 3 , kila kitu anafanya beki3, i wish nioe anayejua kupika
 
Abdulhalim, ubachela una mwisho bwana. Vuta jiko mkuu au bado upo upo sanaaa??!!

NB: Chapati kama hizo nazipenda kwa beef stew au ndondoz..
 
Last edited by a moderator:
Best na Mathematics hawa watoto wa baba na mama zao hawajui chochote kuhusu kukaangiza....Unaweza kuulizwa swali, "Kuchemsha chai ya rangi unafanyaje vile?" wengine miezi michache kabla ya harusi ndio hutafuta darasa la nguvu la kujifunza namna ya kukaangiza. Matokeo yake mara nyingi huwa si mazuri kusema kweli. Best ukifungua shule ya kukaangiza utatengeneza pochi nzuri sana.

1. Darasa la kuchemsha chai ya rangi Sh 50,000
2. Chai ya Maziwa Sh 80,000
3. Wali mweupe Sh 100,000
4. Pilau Sh 150,000
5. Chapati, mahanjumati, kalimati, maandazi Sh 200,000
6. Vitumbua na Sambusa Sh 200,000
7. Samaki wa kila aina Sh 100,000
6. Prawns wa mchuzi na wale wa kugrill Sh 120,000

Kazi kwako Best...biashara inalipa sana hii 🙂🙂

Best sikuwezi. Chai ya rangi ya kukaanga? Hehehe.

kweli umesema mkuu, watoto hawa wa kulelewa na mabeki 3 , kila kitu anafanya beki3, i wish nioe anayejua kupika
 
Hii menu ukishapata yale maji yetu na asusa hii aahaa mpaka kesho imetoka hiyo
 
Abdulhalim, ubachela una mwisho bwana. Vuta jiko mkuu au bado upo upo sanaaa??!!

NB: Chapati kama hizo nazipenda kwa beef stew au ndondoz..

Pengine kama walivosema wanabodi wengine kwamba ktk karne hii unaeza kuoa mtu asiejua kupika !(yaani mtu ambae sio domesticated, sio kitu cha ajabu tena).. kiukweli i can honestly say tangia niletwe duniani na mama yangu Hawa binti Juma binti Mwalimu, sijawai kukonekt na mwanamke mwengine intellectually & emotionally zaidi yake hivo kuoa ni muhali unless things change.

NB: Tatizo la ng'ombe za wasukuma zinachukua masaa kuiva, huo muda wa kuivisha huaga cna!
 
Ha! ha! ... Emanuel Makofia Alafu kesho akibadilisha menu anapiga Urojo! ..

Chana%20Batata%20Ya%20Rojo.jpg

urojo.jpg

​

Huu urojo msiu-understimate! Hawa watumiaji wakubwa wa urojo hapa Tz wengi wanazalisha idadi kubwa ya watoto katika kaya zao...
 
Jamani mbona mimi naona kijiko kimoja hicho kingine kiko wapi acheni majungu ni bachelor huyo
ngoja nimpe na hii hapa akimaliza kula aende kulala amana naona akiendelea kula mathematics atavimbiwa tumbo bure, hebu kuwa na kiasi nenda kalale hapa
 
heeee heeeeeeeeeeeeekwawakwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mathematics umependa! hee
 
belinda umennena vyema mwambie huyo mathematics kwani atavuta jiko hebu vuta jiko wewe ondoka huko ubachelani
 
halafu wewe ladyfurahia unajua nakupendahga sana, lakini kila siku hunielewi, mimi natakaga ww uje kuwa jiko langu bado hutaki, why unanitesa sana? Arushaone njoo nisaidie bembeleza hii mutoto inielewe mwenzake nateseka juu yake,

belinda umennena vyema mwambie huyo mathematics kwani atavuta jiko hebu vuta jiko wewe ondoka huko ubachelani
 
Last edited by a moderator:
sasa nyie mathematics na arushaone mna matatizo ya akili nini mbona mnatumia lugha isiyoeleweka hapo, acheni hizo muwe waungwana humu jf nasema sipendi kabisa, founder wetu ameweka forum ya jokes na kwanini mnaleta jokes hapa sipendi nitawakurupusha mie ohoooo haya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom