"Raha" ya Ubachela

"Raha" ya Ubachela

maisha ya ubachela kazi kweli sio mchezo ndo maana jamaa anakwambia paka haishi kwa bachela huyo mwenye harage mbona ni mpikaji mzuri hadi mchuzi upo
 
Pengine kama walivosema wanabodi wengine kwamba ktk karne hii unaeza kuoa mtu asiejua kupika !(yaani mtu ambae sio domesticated, sio kitu cha ajabu tena).. kiukweli i can honestly say tangia niletwe duniani na mama yangu Hawa binti Juma binti Mwalimu, sijawai kukonekt na mwanamke mwengine intellectually & emotionally zaidi yake hivo kuoa ni muhali unless things change.

NB: Tatizo la ng'ombe za wasukuma zinachukua masaa kuiva, huo muda wa kuivisha huaga cna!

Uwe +ve bwana, huwezi jua unaweza kupata mtu atakayekupenda kwa dhati na wewe ukampenda vile vile tena anayejua maana ya ndoa na familia. Nakubali mama ni the most important woman in your life pia anaweza kupenda uwe na family. You don't wanna grow old alone, do you?!! fungua moyo wako, take a chance! who knows???
Ila kiukweli mwisho wa siku naamini vitu vingine maishani ni 'choice' ya mtu.
 
Believe me, I am vere positive!! let me try harder..lol
Thanks anyways kwa ushauri..
 
Bachelors-Food-Pyramid1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom