Unajua kila kitu kina ladha na harufu yake yani ukisikia tu harufu unajua hilo ni kongolo hiyo ni samaki huyo ni mbuzi au hiyo ni kitimoto
Sasa na supu ya utumbo shurti iwe na kale kaharufu ka...... kama hakapo hako wala hainogi ndo maana wapishi wa utumbo mara nyingi hawausafishi ukatakata kabisa hasa utumbo wa kwenye mabar.
Kama una kinyaa usile utumbo kula kingine