mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,411
- 5,150
🤠🤠🤠🤠 si ndiyo mambo yako kabisa MangiUnanikabidhi ulevini kweli?? Nimelia sana
Mhmmmmm Sio kweli,mbona Mimi mpole tu🤠🤠🤠🤠 si ndiyo mambo yako kabisa Mangi
Kwamba nimekuonea😁?Mhmmmmm Sio kweli,mbona Mimi mpole tu
Bado upo kindergarten ukifika Chuo cha Ulevi uka-graduate ndio tutakuelewa kwa sasa endelea kunywa nusu glass maana hapo hulewi ila kichwa chako na ubongo vinakwambia wewe ni beginner newcomer ukifika level za juu nusu glass sio ya kulewa mpaka umalize jaba ndio kichwa kinaanza kuita hapo unakua ume-graduate tayari[Kwa mara ya kwanza] katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii..
Chuma gani hii ina rangi nzuriWakuu naandika huu Uzi nikiwa mitungi kinoma noma. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii..
Kuna bia zimetengenezwa na mkono wa jini wa jomba aminini nawaambia , alcohol ndogo ila Busta lake ni barahaaaa!!!
View attachment 3529537View attachment 3529541
Wakuu naandika huu Uzi nikiwa mitungi kinoma noma. Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya ULEVI na nimepiga nusu glass na kulewa chakariii..
Kuna bia zimetengenezwa na mkono wa jini wa jomba aminini nawaambia , alcohol ndogo ila Busta lake ni barahaaaa!!!
Hahaha oyaaa mwananguuu... ssssikilizaaa... n-naandika hapa hukuu kioo kinayumbayumbaaa kama kipo b-bahariniii... m-mwananguuu...
"Oyaaaa mmshikajiii... h-huyo jjini wa j-jombaaa ni nomaaaa... yaani n-nusu g-glasi t-tu n-naona k-kila mtu ana wakuu wawiliwwailii... h-huku kw-kwangu kuna b-black l-label im-emwagika k-kwenye v-vodkaaaa... n-naona h-herufi zin-azinacheza singeliii m-mzee... t-tuko nzwiiiii m-mpaka k-kielewekeeee... c-cheersss b-bhanaaaa... m-maisha m-mafupiiii k,kama m-mkia w-wa m-mbuzi..."
Oyaaa m-mwanangu... v-vipi h-hapo u-umeona h-hizo h-herufi z-zinavyozururaaa? 🍻🥴🥴🥴
Ndio rasiiKwamba nimekuonea😁?
🤠🤠 basi nmetengua kauliNdio rasii
sasa kikubwa si nilewe au wew unatakaje?pombe za homeless ulaya hizo
Kwani lengo la kunywa Pombe hua ni lipi hasa?pombe za homeless ulaya hizo