Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Tatizo tumeshindwa ku compromise katika mahusiano. Kumpata alie na kila kitu ukitakacho 100% katika mapenzi ni pagumu. Muhimu vile essential viwepo tu, mfano kama unapenda sex umpate anayejua kukupa ukaridhika hata kama sifa zingine unazotaka hana atleast utavumilia.

Tatizo wahuni tunapenda malaika, yani mwanamke awe na shape la uwoya sura na tabasamu la official.lynn halafu tabia za jackline mengi. You will never get all stuffs in the same package mzae!

Lazma tukubali kwamba mwanamke mzuri ila utaishi na choyo chake, uswahili wake ama asie na akili za kuwaza maisha ya baadae, mjeuri, beki hazikabi. Compromising matters.
 
Unakuta mtu unapenda malaika halafu wewe mwenyewe ni shetani wapi na wapi ! Kuna vitu vingine inabdi kuvumilia tu kupata 100% ni ngumu sana yaani bahati sana, halafu unakuta mtu anachagua wakati yeye mwenyewe tabia zake mbaya Mungu atusaidiye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…