mito well said ma bro, na hapa meongelea kitu ambacho wengine wengi hatukukiona but nicha msingi sana. kumbe raha iko established jkatika uwezo wa kuvipata vyote ulivyo vikusudia before joining the institution. kinyume na hapo hakuna raha tena ya ndoa.Aisee gfsonwin hili swali lake linaweza kuwa gumu sana kulijibu, lakini pia linaweza kuwa rahisi sana kulijibu kutemea na mtizamo wa mtu mwenyewe. Nionavyo mimi, sababu zinazokufanya uolewe au uoe ndo zina-determine raha ya ndoa yako. Yaani ukizitimiza au ukitimiziwa hizo sababu zako, basi ndo raha yenyewe. Kwa mfano kama nia yako ni kuoa/kuolewa ili kupata watoto, sex, kusaidiana maisha, kuishi na mtu anayekupenda kwa dhati n.k, na kweli ukavipata baada ya kuoa/kuolewa, ujue ndo raha ya ndoa. Kinyume chake ndo kero/karaha za ndoa.
Raha ya ndoa hutokana na mambo mengi sana kati ya wanandoa ikiwemo mshikamano, heshima, uvumilivu, kuaminiana, kushurikiana, kushauriana n.k lakini pamoja na hayo yote tisa nikiyoyataja hapo juu kubwa kuliko yote ni upendo maana siku zote Upendo hutangulia halafu hayo mengine huja automatically. Bila upendo hayo yote niliyoyasema juu na ambayo mengine sijayasema hayawezi kutokea hata kama ukienda kwa karumanzila kwa sababu upendo ndio mliowafanya mkapendana, upendo huo huo ndio uliowapelekea hadi kkafunga pingu za maisha. Ili raha ya ndoa iweze kuwepo lazima ule uoendo ambao uliwafanya mkapendana uweze kudumishwa ikiwezekana hata kuongezeka mara dufu hata baada ya kufunga ndoa.
Papizo ushauri wangu kwa yeyote ambaye hajaolewa au kuoa, jamani ndoa ni fumbo la imani. Raha yake imekuwa established katika uwezekano wa kuvipata unavyovikusudia ndani ya ndoa yako kwa njia ya halali.Tetea ndoa yako kwa gharama ya hekima na busara yako na upendo wako ili kuweza kuleta raha ndani ya ndoa. kumbuka kwamba nje ya upendo wa kweli na wa dhati hakuna raha ya ndoa.mwanzoni ulikuwa unajuwa kuna raha si ndio??sasa kwa sisi ambao hatujaingia unatupa ushauri gani??
Mkuu gfsonwin, ushaijua raha ya ndoa? Kama hujaijua njoo Tanga barabara ya 12 nikufunde ufundike.
Habari ya asubuhi? Wakwe zangu hawajambo? Shkang mwalimu.
Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima.
haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini?
je ni mchezo wa matusi tu,
au ni kuish na mtu umpendaye tu
au ni kuwa na familia tu
au ni nini?
hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.
Sasa mi nikusaidie kabla ya kukujibu,unataka kujua raha ya ndoa au unataka kujua furaha ya ndoa?Maana kuna tofauth hapo!
Raha ya ndoa ni full package. Kuanzia tendo la ndoa, watoto, kugombana kidogo, kufurahi pamoja etc.
Ukinambia unaweza pata furaha au company hata ukiwa kwenu mi nakataa; unless unambie aina ya familia unayotoka watu wapo tu wanakusubili tu kukutoa stress. Mi kwetu mfano wote wameoa na kuolewa hivyo hakuna mwenye muda (wa kutosha) na dada sijuhi kaka bila kumuona intruder.
Lakini mume wangu ndiye kaka, dada, rafiki. Yani maisha yangu ya kazini anayajua ndani nje; hivyo tukikutana jioni naendeleza story tu; basi boss si amekubali ile issue... Basi si nimempa live yule mshenzi... Au unaonaje nikubali au nikatae hiyo proposal... Nina uhakika wa pa kupata second opinion tena genuine, si ya marafiki wanafiki. Mimi na calculate sana nachoongea na so called marafiki; lakini kwa mume wangu najiachia tu kwani siri zangu najua ziko salama.
Kama ndoa ni ya watu wanaopendana; unachopata kwenye ndoa akiwezi kuwa replaced na uhusiano na mtu yeyote, hata mzazi.
habari ni njema kabisa mkuu Asprin, mmh.......! huko bara bara ya 12 napahofia kwanza nitamuagaje Kaizer wangu wakati siku hizi namlindia asha dii jimbo? pia Kongosho si unamjua alivyo mtata nahofia ataniletea matarumbeta na Zinduna wanisute na "mnanda" kama jana walivyo msuta Bishanga na ngoma ya kigwale.
Bishanga msuto jana nimeupenda, leo hata ndizi haziliki kaz ipo. wakwangu anakidhi vigezo vyote mechi tu masaa 4-5, maisha bora naishi kubembelezwa usiseme watoto kanizalisha vidume vya nguvu, outing usiseme bado yeye ni handsomem sasa nidatishwe na nani tena? kwa vigezo hivi? kwangu sili nikipatacho bali ninachokitaka, sivai nikipatacho bali nikitakacho, sipambi nyumba kwa maua bali kwa tabasamu na vicheko nani mwingine wa kunifikisha hapo?Ulifurahi eh?
Halafu nimekusoma sana post zako zote kwenye hii thread,trend ya post zako inaonyesha umedata mahali na una plan kum cheat mzee,be careful mapenzi ni kikohozi.........
Ni kujenga familia, vingine vyote ni complimentary. gfsonwin mimi nakuaminia sana, yaani the way unavyoelezea kitu hadi inanipa raha, you appear to be knowledgable in understanding the world, in short among the great thinkers.Meritta bi dada kwa kutegemeana kivipi?
mpendwa,
kuna tofauti kubwa sana kati ya raha na furaha. raha huletwa na vitu tangible, visible nk. mfano; mambo ya anasa kama magari, mavazi, vito vya thamani, majumba ya kifahari nk, wakati furaha huletwa na vitu intangible na invisible mfano peace, love, companionship etc.
tendo la ndoa ni kikamilisho cha companionship, ni chanzo cha amani. familia ni bustani inayochipua upendo, amani, companionship etc
kwa hiyo kwa maoni yangu, ukiyafanya ipasavyo kwa mwenendo safi hayo uliyoandika hapo juu yatakupatia furaha. raha ya ndoa utaipata kama utaangalia mambo tangible kama pesa, magari, nyumba, vyakula, vipodozi, mavazi nk uyapatayo na unayoyafaidi ukiwa ndani ya ndoa, na ambayo usingepata fursa ya kuyafaidi kama unsingekuwa na ndoa.
natumaini umenipata vizuri mpendwa,
ubarikiwe sana
Glory to God{qoute}
ms judith ubarike sana kwa hekima uliyotushirikisha binafsi najifunza mengi na nafikiri hata wengine pia.
Kongosho lol hata wewe nawe basi namuomba kibabu Asprin basi badala ya Kaizer? ila ujue kwangu akiingia hatoki tena manake kwangu mavibration niya kumwaga na malovi davi usiseme. muulize kaizer maji anaita mma mwenzio anapepetwa kama mchele kwenye ungo, ndani ya chumba na varanda.
Ni kujenga familia, vingine vyote ni complimentary. gfsonwin mimi nakuaminia sana, yaani the way unavyoelezea kitu hadi inanipa raha, you appear to be knowledgable in understanding the world, in short among the great thinkers.
Huyo unayemuomba kishaibiwa na BADILI TABIA
Ila ukimvibreti sana huwa anaweweseka, atashindwa hata kula.
Kaizer kwa kweli mwachie AshaDii, karibu kwa Babu ODM kiboko wa wajukuu watukutu.
Afu na mie nitakufundisha teknik moja inaitwa 'Ching Chong' ila masharti yake unampa mara moja kwa miaka 2 au mitatu.
maana hii ndo huitumia kununuliwa vits au nyumba, ukiitumia mara kwa mara anafilisika unakuwa kama unakula mtaji wa baishara yako.
Ila sasa wanalia hao ukiwawekea hii??? Usisahau ear plug