Raha ya ndoa NI NINI?

Ni kupendana tu, maana upendo huleta mambo mengine yote yaliyosalia kama care, attention, wivu mzuri, support, kusaidiana, uaminifu, nk

at least kaka yanguumeweza kuniambia aspect mojawapo. lakin kama ukipendwa na mtu tofauti je unaweza kufananisha na ndoa? manake kuna possibility ya kupendwa nje kwa mapenzi ambayo pengine kwenye ndoa haupo. so utasemaje?
 

hivi wewe Kongosho na Kaizer mmemgongea like ya nini? mm nampa thumb down. anatakiwa kujibu swali tu na siyo kuuliza swali lol kumbe shule ulifeli babu kwa mengi
 
Last edited by a moderator:
Eiyer you always have brain boy. sasa hapa napata maswali mengine kuwa kumbe ili kuona raha ya ndoa lazima mtu binafsi awe na furaha? je yawezekana mtu kutengenezewa furaha?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu samahani sana, kwani wewe ni jinsia gani? unajua raha ya mema na mabaya? ulishawahi kufanya?.
Je kama una uwezo wa Kununua gari lako mwenyewe au kuazima gari/magari kila wakati kipi bora? yaani kumiriki kifaa chako mwenyewe au kikaa na kifaa cha mtu mwingine kipi bora?. Mia
 
raha yangu kwenye ndoa ni kuwaona watoto wangu wanapata mahitaji yote muhimu! na mume wangu apate amani ya roho in ol aspects, so that we can suport each other in achieving our daily bread and complete th happines we want.
 
Raha ya ndoa ni full package. Kuanzia tendo la ndoa, watoto, kugombana kidogo, kufurahi pamoja etc.

Ukinambia unaweza pata furaha au company hata ukiwa kwenu mi nakataa; unless unambie aina ya familia unayotoka watu wapo tu wanakusubili tu kukutoa stress. Mi kwetu mfano wote wameoa na kuolewa hivyo hakuna mwenye muda (wa kutosha) na dada sijuhi kaka bila kumuona intruder.

Lakini mume wangu ndiye kaka, dada, rafiki. Yani maisha yangu ya kazini anayajua ndani nje; hivyo tukikutana jioni naendeleza story tu; basi boss si amekubali ile issue... Basi si nimempa live yule mshenzi... Au unaonaje nikubali au nikatae hiyo proposal... Nina uhakika wa pa kupata second opinion tena genuine, si ya marafiki wanafiki. Mimi na calculate sana nachoongea na so called marafiki; lakini kwa mume wangu najiachia tu kwani siri zangu najua ziko salama.

Kama ndoa ni ya watu wanaopendana; unachopata kwenye ndoa akiwezi kuwa replaced na uhusiano na mtu yeyote, hata mzazi.
 
Na hao wawili watakuwa mwili mmoja. Its all about True Love.
 

mia maswali yako naona kama ni mengi sana kwangu na nafikir mengine unamajibu yake but ukweli ni kwamba gari yako mwenyewe ni nzuri zaid kuliko la kuazima
 
raha yangu kwenye ndoa ni kuwaona watoto wangu wanapata mahitaji yote muhimu! na mume wangu apate amani ya roho in ol aspects, so that we can suport each other in achieving our daily bread and complete th happines we want.
cacico ma dear umenipa majibu yenye maswali tena hivi kwani wanao wakitimiziwa mahitaji na shangazi au wajomba je itatimiza raha yako? inamaana siku ambayo mumeo hana amani basi kwako raha ya ndoa hakuna?
 
Last edited by a moderator:
nyumba kubwa wewe nyumba yako umeijenga katika misingi ya urafiki zaid kuliko katika misingi ya mume na huyu mke. manake kuna hatari sana ya kuish katka mazingira ya mume na mke na kuondoa misingi ya urafiki. Mumeo akiwa ni rafiki yako definately utakuwa muwazi kwake na atakuwa your next hand but akibaki na cheo cha mume atakuwa na gap kubwa sana kati yako na hisia zakoa ama uhalisia wako wa kimaisha. nimeipenda sana hii
 
Last edited by a moderator:
Na hao wawili watakuwa mwili mmoja. Its all about True Love.
Allien what is true love? na je what if kama ndani huna hii true love halaf ukaipata nje? hapa utasemaje? just to be curious
 
Last edited by a moderator:

Kutafunana tu si zaidi ya hapo.
 
Eiyer you always have brain boy. sasa hapa napata maswali mengine kuwa kumbe ili kuona raha ya ndoa lazima mtu binafsi awe na furaha? je yawezekana mtu kutengenezewa furaha?

Furaha unayo mwenyewe,hautengenezewi na mtu!
 
Last edited by a moderator:

Aisee gfsonwin hili swali lake linaweza kuwa gumu sana kulijibu, lakini pia linaweza kuwa rahisi sana kulijibu kutemea na mtizamo wa mtu mwenyewe. Nionavyo mimi, sababu zinazokufanya uolewe au uoe ndo zina-determine raha ya ndoa yako. Yaani ukizitimiza au ukitimiziwa hizo sababu zako, basi ndo raha yenyewe. Kwa mfano kama nia yako ni kuoa/kuolewa ili kupata watoto, sex, kusaidiana maisha, kuishi na mtu anayekupenda kwa dhati n.k, na kweli ukavipata baada ya kuoa/kuolewa, ujue ndo raha ya ndoa. Kinyume chake ndo kero/karaha za ndoa.
 
Raha ya ndoa hutokana na mambo mengi sana kati ya wanandoa ikiwemo mshikamano, heshima, uvumilivu, kuaminiana, kushurikiana, kushauriana n.k lakini pamoja na hayo yote tisa nikiyoyataja hapo juu kubwa kuliko yote ni upendo maana siku zote Upendo hutangulia halafu hayo mengine huja automatically. Bila upendo hayo yote niliyoyasema juu na ambayo mengine sijayasema hayawezi kutokea hata kama ukienda kwa karumanzila kwa sababu upendo ndio mliowafanya mkapendana, upendo huo huo ndio uliowapelekea hadi kkafunga pingu za maisha. Ili raha ya ndoa iweze kuwepo lazima ule uoendo ambao uliwafanya mkapendana uweze kudumishwa ikiwezekana hata kuongezeka mara dufu hata baada ya kufunga ndoa.
 
Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu.

mwanzoni ulikuwa unajuwa kuna raha si ndio??sasa kwa sisi ambao hatujaingia unatupa ushauri gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…