Raha ya ndoa NI NINI?

Raha ya ndoa NI NINI?

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,714
Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima.

haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini?

je ni mchezo wa matusi tu,
au ni kuish na mtu umpendaye tu
au ni kuwa na familia tu
au ni nini?

hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.
 
mchezo wa matusi ndo upi? je mwili mmoja wanatukanana halafu iwe tamu ya ndoa??
 
Kukamilishana kwa kila namna.
COMPANIONSHIP, LOVE, CARE AND SUPPORT,ATTENTION,ASSISTANCESHIP,SECURITY...............................

mkuu hapo napo sikupati vizuri kwani kama hupati hivi ndoa huwa haina raha? mbona kama care hata kwenu ulipata au security?
 
mchezo wa matusi ndo upi? je mwili mmoja wanatukanana halafu iwe tamu ya ndoa??

sisi zilipendwa hatukuambiwa kuwa inaitwa kufanya mapenzi bali tuliambiwa inaitwa "mchezo wa matusi" huwa unanoga pia mkiwa wawili kama mmoja
 
Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima.

haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini?

je ni mchezo wa matusi tu,
au ni kuish na mtu umpendaye tu
au ni kuwa na familia tu
au ni nini?

hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.

MI nahisi ivyo vyote hapo juu vinaweza kuleta raha ya ndo kwa kutegemeana
 
Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu.

basi kumbe kwako wewe Litty raha ya ndo ani watoto. good nimeipenda hii
 
Last edited by a moderator:
Rudi kwenye maandiko utajua kwanini watu wanaoana!"........Kwa sababu ya tamaa ya mwili kila mtu awe na mke wake mwenyewe......."
 
Haya ndiyo tunayaaiita multiple choice questions. Ni mazuri kwa kwa wanafunzi wa primary na sekondari.
 
kuuliza raha ya ndoa bila kujua wajibu ndani ya ndoa could be unfair
 
Back
Top Bottom