Raha ya mwanamke akodolewe macho

Raha ya mwanamke akodolewe macho

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,924
Reaction score
61,043
Inatakiwa uwe na mke au mchumba ambaye ukipita naye mazingira watu wanamtolea macho wanamtazama bila kuchoka.sio unakuwa na demu ambaye watu hata hatumshangai hatumtolei macho kumtazama mgongo na jinsi anavyotembea.
 
Kama huyu au???[emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji2445]


“ᴬⁱⁿ̇`ᵗ ᵃ ʷᵒᵐᵃⁿ ᵃˡⁱᵛᵉ ᵗʰᵃᵗ ᶜᵃⁿ ᵗᵃᵏᵉ ᵐʸ ᵐᵒᵐᵐᵃ`ˢ ᵖˡᵃᶜᵉ”
 
Imategemea ataangaliwa na kina nani mkuu, kamani boda boda huishia kupiga miruzi na vigeregere, sasa unaenda na mkeo kwenye harusi ya staff mwenzenu, maboss zako wanaanza kumjadili[emoji23][emoji23][emoji23], hapa kuna hatari bro.
 
Back
Top Bottom