Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,420
Hahah...Teh teh..Nwei ni ngumu kuilinda bahari..Jaribu bahati yako bro..Ila mke wa mtu huyo
ngoja niendelee kuangalia matokeo ya uchaguzi huko Uganda!
Hahah...Teh teh..Nwei ni ngumu kuilinda bahari..Jaribu bahati yako bro..Ila mke wa mtu huyo
Nani huyo anayetaka uthibitisho?
Kabla sijamthibitishia hebu kama ta kwanza hiii Mwwwahh kwa lips zako tamu
Thats my girlie......mwaaaah napokea baby
Tell them dady, they should take noteThats my girlie......
[emoji15] [emoji15] [emoji15]They should also be warned...... Hakuna mtu anaruhusiwa kukaa karibu na jje's wangu bila ridhaa yangu.
Be warned all!!
Hakunaga mie sikubali[emoji15] [emoji15] [emoji15]
niachie mie kdog mkuu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Thats my wife!!Hakunaga mie sikubali
Matokeo gani..Umegoma kumtambua Mseven kama raisi?Hahah...
ngoja niendelee kuangalia matokeo ya uchaguzi huko Uganda!
Yes bby itabidiThats my wife!!
Hebu twende PM nikakunong'oneze kitu kizuri.
Hapa wanga naona wanazidi kuwa wengi
Matokeo gani..Umegoma kumtambua Mseven kama raisi?
Mpaka hapo atakapotokea ndugu yake wa kumuachia madaraka ndo ataachia ngaziKhaa!!,,,mtu gani wa vile sijui kama yupo sawa lazima ana tatizo sijui yupoje na anataka kua pale mpaka lini?!....
Inaumiza bro...Jamaa wamemuarrest zaidi ya mara tatu aiseeAnaitia aibu Afrika Mashariki yule daah na wale askari wamemchapa sana Besigye hizi siasa za Afrika inafika wakati unajuta kabisa kuzaliwa huku inauma sana na inatia aibu
Mpaka hapo atakapotokea ndugu yake wa kumuachia madaraka ndo ataachia ngazi
Inaumiza bro...Jamaa wamemuarrest zaidi ya mara tatu aisee
Wewiki yote ya nini??!!Tusumbueni kidogo hata wiki ivi