Raha ya Mapenzi Kupendwa sio kujipendekeza

Raha ya Mapenzi Kupendwa sio kujipendekeza

Mmh naona leo kila kidume kitasema kinapenda " usinikubali haraka haraka ", mnataka mzungushwe eti. Sasa nimeona mtu ananifaa jamani ( sijakurupuka ), nilete mapozi ya nini afu akighairi nijifanye nalia lol. ( Kidding )

Haya mambo hayana SI unit, kuna watu wamekutana within a short time na mambo yao yapo freshhhh, wengine yamebuma. Na kuna wengine wamezungushana weee wakaja wakadumu but wengine wakapigana vibuti vya toilet paper. Ni kuomba tu Mungu upate mtu sahihi na kuweka misingi sahihi basi. Afu kumsoma mtu hakuna fixed time, kuna package zinakuja as a whole jamani so unakuta unazielewa mapema teh. Inapohitajika basi utatumia muda mrefu pia kumuelewa mtu. Ila make sure kwa kiasi fulani unamfahamu mtu kabla ya kusema "YES"
Hello from the other side....

mbona una akili sana wewe khaaa!
 
Daaah me bora unikubali haraka maana sinaga zile za kuliganda limwanamke.yapo yamejaa tele kama pishi la mchele
 
Duh, mm nadhani niko kinyume kidogo. Karne ya 21 mnataka waishi km enzi za bibi zetu. Siku hizi wanajitambua na wanamaamuzi. Mkitaka waishi hivyo ni pamoja na kutotoa tendo kabla ya ndoa hayo ndo mnasema ya zamani.

Mimi nadhani km wanakuwa wanahitaji acheni wafunguke, dunia imeridhia wawe na haki km sisi acheni waonyeshe wanachohitaji. Maana hapo ina maanisha hakuna anayetendewa bali kutendeana. leo tunalalamika kujirahisi, kesho hataki kunipa hadi ndoa, mara huyu mwanamke hajui mapenzi. Wakati ukiangalia hivi vitu ni same package.
 
kuna madem wengine wanaitwa n.i.to.m.b.e nikale, chips kavu tu, unajilia mzgo,
 
Kusotea poa sawa msichaana lazima awe na vipozi pozi flani ili mkuda usimchukulie poa

Ila swali ni aina gani ya msichana wa kumsotea kihivyo sio wote ni wa kuwasotea kiukweli utajichosha

Unajua kuna msichana unaeza kumpiga sound halafu ile anajifanya anakuzungusha na wewe unakua hutaki tena unakimbia jibu lako maana unajua akikukubali ni umejiongezea stress ya tatu mjini ukitoa jua na foleni.
 
daah kaka kumbe we unawaona maraika ee?yakikukuta utalia at the sametime unaharisha na mkono ukiwa unapangusa machozi na kamasi.
 
nimeshashika adabu yangu kuanza kutongoza bila wallet
 
Mmh naona leo kila kidume kitasema kinapenda " usinikubali haraka haraka ", mnataka mzungushwe eti. Sasa nimeona mtu ananifaa jamani ( sijakurupuka ), nilete mapozi ya nini afu akighairi nijifanye nalia lol. ( Kidding )

Haya mambo hayana SI unit, kuna watu wamekutana within a short time na mambo yao yapo freshhhh, wengine yamebuma. Na kuna wengine wamezungushana weee wakaja wakadumu but wengine wakapigana vibuti vya toilet paper. Ni kuomba tu Mungu upate mtu sahihi na kuweka misingi sahihi basi. Afu kumsoma mtu hakuna fixed time, kuna package zinakuja as a whole jamani so unakuta unazielewa mapema teh. Inapohitajika basi utatumia muda mrefu pia kumuelewa mtu. Ila make sure kwa kiasi fulani unamfahamu mtu kabla ya kusema "YES"
Mamboooo?
 
Back
Top Bottom