Raha ya Mapenzi Kupendwa sio kujipendekeza

Raha ya Mapenzi Kupendwa sio kujipendekeza

Kapo ka hulka kamezuka siku hizi kwenye muundo wa njia za kuanzisha mahusiano.Wanawake wa leo si wale tuliowajuwa enzi zile.Kwanza wamekuwa wepesi kung'oleka kirahisi sana.Miaka ile papuchi ilisotewa kweli kweli.

Pili wengi wamefanya mapenzi yamekosa ladha yake halisi niijuwayo,Wanawake wengi sasa hivi hawasubiri kutongozwa,Wengi hujipendekeza kwa wanaume (Kujilengesha) na wakitupiwa nduano fasta washaitika kwa herufi kubwa"SAWA".

Haya ni maradhi,Na ndio uchangia mahusiano ya siku hizi hayadumu,Tulieni mtongozwe.Tuangaisheni angalau kidogo tujione nasi kuna kitu tulisotea.Hata hela ukizipata ghafla ghafla nazo uwezekano wa kuyenyuka kwa kasi ni mkubwa.

Ni tofauti na yule aliyezisotea zikaingia kidogo kidogo huwa zinadumu mfukoni.Ndivyo ilivyo hata kwenye PENZI likiwa la ghafla nalo hufa ghafla pia.

Badilini tabia mambo ya kujirahisisha na kujipendekeza kwa mwanaume ili akutongoze ni janga kuu kenyu mabinti wa kileo.

Raha ya Mapenzi kupendwa sio kujipendekeza.Ushauri wa bure badilini taabia.
wazamani walikua wanafiki tu mtu anakupenda kweli af anakuzungusha miez sita afu papuchi yenyewe magumashi bora cku hizi mtu kama anakupenda asumbui kiviiile sema tu ankuevaluate kwa ajili ya usalama wake then maisha yanaenda..wa zamani walikua na nidhamu ya uwoga tu wakishazoea town wanachapika tu kama kawa
 
They should also be warned...... Hakuna mtu anaruhusiwa kukaa karibu na jje's wangu bila ridhaa yangu.

Be warned all!!
Ha has mzeee unajua hujaomba kibal kwa sie kaka zake...

Tunachek tuu fujo zako....

@jje
 
siku hizi coca cola kama wameligundua hilo. ni swala la kununua soda yenye vijimaneno kwisha kazi. kidume unang'oa mchumba!!
 
Yaan Wanawake walivyo wengi hivyo bado unawadanganya waendelee kupoteza Muda wakuwa na pozi???Pozi atakuletea ukiwa nae sio kabla hujawa nae!Zamani Babu zetu walisota sana kwa ajili ya Papuchi,sasa mambo yamegeuka kutesa kwa zamu,zamu yao nao watutongoze tulinge watupe muda wa kuwafikiria ndio tuwakubalie vinginevyo wabaki na Genye zao au watumie maji moto
 
Back
Top Bottom