Raha ya Mapenzi Kupendwa sio kujipendekeza

Raha ya Mapenzi Kupendwa sio kujipendekeza

Ofcoz....Dada mtumish

No vigumu kuijua nia ya MTU kwa kumzunguusha. Some time mapenzi na kumpata MTU sahihi mwenye dhamira ya that no kaka kamali vile.....mwendo Wa trials and errors.

Kuna wanaume huwa wanamtindo Wa kusema haka kadem kamenizungusha saaana but akijiloga kunipa papuchi tuuuuu baaaaaaas......tamfunua tamwacha.

At the same time kuna wengine kadri msichana anavyo kuzunguusha ndipo value yake inazidi kupanda.....

Kuna walee wazeee Wa kujaribu jaribu na hawana mapenzi yakweli wala malengo....ukimzungusha Mara mbili tatu ka give up kasepaaa....
Sometimes na nyie hizo haraka haraka zenu zinawakosesha mambo.
1.Kuna mtu kweli atakuwa analeta tu mapozi hewa, utamjua tu na mishauo yake isiyoeleweka, hata anavyokutreat utaona tu hapa kushney. Sepa tu fasta

2. Kuna mwingine hawezi kusema yes mapema ila kuna dalili fulani hivi amazing atakuwa anazionesha kwamba she is kinda interested, so mshikilie. Possibly bado hajawa na uhakika na wewe, so Mpe tu time afu prove yourself kwamba you are the one. Yani mdogo mdogo atajaa

3. Kuna hili group la "sitaki" kabisa. Ukute nimetoka kupigwa likibuti jana, au nimeshatendwa weee hadi kiranga cha kupenda kimeniisha, unafikiri utakuja tu afu nikuelewa fasta? Naona maumivu tu mie na mapicha picha. Au kuna time mtu anaamua like I wanna be single for a while, huyu naye you need to win over her taratibuuu. Cha msingi msome vizuri huyo girl, Ukiona kabisa she is a keeper, then fight for her, do whatever it takes to have her. Mara nyingi girls tunafundishwa kumpenda mtu, the way utakavyoniapproach, utakavyonitreat taratibuuu unakuta huyo nishajaa. So angalia tu kama anastahili your struggles then sema naye. Ila kale ka muda ka tongozo natamanigi kasiishe jamani, sio kwa ile micare[emoji85] [emoji85] [emoji85] ok byeeeeeee
 
Mmh naona leo kila kidume kitasema kinapenda " usinikubali haraka haraka ", mnataka mzungushwe eti. Sasa nimeona mtu ananifaa jamani ( sijakurupuka ), nilete mapozi ya nini afu akighairi nijifanye nalia lol. ( Kidding )

Haya mambo hayana SI unit, kuna watu wamekutana within a short time na mambo yao yapo freshhhh, wengine yamebuma. Na kuna wengine wamezungushana weee wakaja wakadumu but wengine wakapigana vibuti vya toilet paper. Ni kuomba tu Mungu upate mtu sahihi na kuweka misingi sahihi basi. Afu kumsoma mtu hakuna fixed time, kuna package zinakuja as a whole jamani so unakuta unazielewa mapema teh. Inapohitajika basi utatumia muda mrefu pia kumuelewa mtu. Ila make sure kwa kiasi fulani unamfahamu mtu kabla ya kusema "YES"
Umenena vyema Douta..Ila daddy wako habari za kuzungushwa ana allergy nazo
 
Dunia imebadilika sana mambo ya kizamani ku date na kukubakiwa uchumba hadi miaka mitatu imeshakuwa outdated.Hii ya sasa ndiyo safi mtu anatupa ndoano yake hapo hapo na kuibuka na samaki wake.
 
mimi mbona siku ya kwanza tu nilivyoambiwa nilisema yes na mpaka sasa tunakula matunda ya upendo?

Asprin, njoo wathibitishie
 
Back
Top Bottom