Raha ya kuwa single

Sasa kuna raha gani ya kula pesa mwenyewe...

Wachaga uchoyo bwana lols
 
Faida nyingine utakayopata ni kwa kuwa single ni Uhuru wa kuchagua mkono utakaotumia kupuchuka
 
Hii ndiyo raha ya kuwa single, naamua ninachokitaka, narudi home muda ninaopenda na siulizwi na mtu. Nafanya ninachoweza siulizwi na mtu hata nisipokula home siulizwi nimekula wapi.

Sasa wewe kama upo na msichana usiniige mimi maana lawama sipendi.
sawaila umeongelea upande mmoja wa shilingi, kuna side B pia
 
Single sio maisha kwasababu ukiugua hakuna wakukuhudumia ukipata hela unatumia kwa starehe ukiwa single ni ngumu kujua unampenda nani maana kila mtu anajituma ila pia muda unaenda aisee utajikuta siku umezeeka huna nyumba na akiba vyote ulitumia ujanani hujui tu ndoa ilivyotamu anayekuponza ni chunguu huyo kafosiwa mke au mume ila ndoa nzurii nyie haswa mkiwa mnapendana.
Kuwa single ni wasted of everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…