Tamati
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 1,084
- 1,960
Kila jambo lina faida na hasara zake.
Pamoja na kuwa na kero nyingi sana kwa kutumia usafiri wa Daladala kwa mihangaiko ya kawaida pia kuna raha yake ya kutumia usafiri huu ukilinganisha na anayetumia usafiri binafsi(private car).
Ebu tiririka jambo hata moja tu ambalo kwa kutumia usafiri wa Daladala limewahi kukupa raha kwa namna moja au nyingine na hutoweza kujutia kutumia usafiri huu japo mara nyingi inauma sana kutokana na kero zake lukuki.
Karibuni tutiririke