Raha ya kutongozwa...lol

kila kidume kina gia/swaga/mistari/maneno yake..ndo maana kila uchao hata uwe mgumu kiasi gani yupo anaekuzidi kete/ujanja (mara moja moja inabidi kuachia papuchi).....upatapo fahamu unajua ushapotezwa na swagaaaa
 
Kumbe hua wanatuchora.!?! Ndio mana nashangaa hawa mabinti wa siku hizi hawanga'ti kucha. Mtu unamtongoza anakuangalia.. Kha! Mpaka mistari inaruka..

wengine mnachosha ndo maana tunatoa macho
 
Leo nimependa hii mada, maana full picha. Endeleeni kufunguka akina dada, kumbe mnatufanyaga akina joti eeh?
 

Hivi tuwe wakweli kabisa jamani, kuna kutongoza siku hizi? Maana zamani kumpata mwanamke ilikuwa ni mchakato wakati siku hizi ni kama kutuma hela kwa mpesa/tigopesa - fasta fasta. Asubuhi unapata number ya simu, jioni au kesho yake sita kwa sita. Kuna kutongoza hapo?
 
Siku hizi mambo na muda wa kusimamisha mistimu naona imepungua. Voice notes ziko very effective kwenye mtongozo. Women fall for voice notes for some strange reason. Coupled with whatsapp, skype and random calls basi unaandika ushindi. The secret is in the timing. You gotta know when, where and how to throw the curve ball. I ain't snitching dawgs, just spitting game kwa hawa young cats and grown up dudes without skills wanatongoza kishamba. That's what's up.
 
Mkuu Tyta, kutokana na huwa unanifikisha mahala pake, pls unakunywa nn na utakula nini w/end hii. Hii ni special for u afu ni PM tigo pesa au m-pesa yako nami ni do ze needfull.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…