kanchibay
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 671
- 692
Ha ha ha ha hatari sanaUsipo pewa positive responses kwa mtu unae mpenda sana huwa inaumaa, maumivu yake ni sawa na mtu kuchomwa taratiiiibu sindano ya kwenye mfupa...moyo huuu jamaniiiii![]()
![]()
Yaan, we achatu mkuu,Ha ha ha ha hatari sana
Hii inachoma kama pasi
Bushoke!!!Anafua hata pichu zako bila shida na always anakuletea nyumbani.
Ninae wa hivi napata tabu mimi kumbe ndo tabia zenu mkuu.Tusio na hulka ya mapenzi ya simu tutaachwa sana karne hii. Mtasababisha tuloweee kwa changudoa
Yaani kutuma msg, sijui whatapp, kupiga simu, hivyo vitu sipendelei, sio kwa mpenzi tu hata kwa yoyyote.
Naweza kwa zile za deal za hela, nazo huwa in short, maongezi yote ana kwa ana
Halafu huwa tuna upendo wa kweli, isipokuwa masimu simu ndio tunaona tabu
Hata akirudi na kukuambia nimepata matatizo kazini, sina ajira tena. Utampa pole na kufikira mfanye nini kuanzia mlipo.Yaa! Mapenzi ya dhati hayo tena dhati yake ni kama pepo ya raha karaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni baaadhi ya ups and downs za maisha. Sasa hata kama apepoteza kazi.... Maisha ni lazima yaendelee. Untaka mazuri tuu maishani kwani mabaya yawapate kina nani kila siku???? Sisi Binadamu tuu. Hizi ni changamoto za maisha. Atapambana atapata kazi tena. Mweza akupatiwa full support hata moral support pia atainuka tena..... Maisha yataendelea kama mwanzo na mapenzi moto moto zaidi.Hata akirudi na kukuambia nimepata matatizo kazini, sina ajira tena. Utampa pole na kufikira mfanye nini kuanzia mlipo.