Raha ya kupenda upendwe

Raha ya kupenda upendwe

Love triangle

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ilishantokeaga, kuna dada mmoja nlimpenda sana nkawa namuomba namba anakataa, nna pacha wangu hatufanani(fraternal twins) kuna siku alikuja kunitembelea akatuona pamoja, kilichofuata siku nliyokutana nae nilipomuomba namba aliniambia anataka namba ya yule kaka nliekua nae ametokea kumpenda sana bila ya yeye kujua n ndugu yangu/pacha, ilibid tu nimpe wakamalizana. Dah akaruka majivu akakanyaga moto haswa

Hatari sana.
Ndo maisha yalivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimpenda anaekupenda raha yake ni sawa na pepo ya dunia. Hela, sura mavazi ya gharama, havina nafasi kubwa kwenye mapenzi ya kweli.

Utatambua kuwa hili ulilonalo ni penzi la kweli pale unaposoma WhatsApp, Instagram, email au sms kutoka kwake. Ikaingia mpaka chini kabisa ya moyo, ukaanza kusmile na hutaki kuifuta. Baada ya shughuli unapanda kitandani unaifungua tena na kuisoma, unairudia mpaka unapata usingizi. Hapo ni kama mmoja wenu yuko safarini.

Raha ya mpenzi akiona ujumbe kutoka kwako aujibu, akichelewa kukujibu akueleze sababu. Mnaongea kila mnapopata nafasi, hata kama mnaongea ujinga.

Raha ya kupenda upendwe, penzi la kulazimisha linachosha.
Kupendwa raha jamani..... Najisikia Napendwa mpaka najiogopa .....😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom