sambeke
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 713
- 652
Juzi nilikuwa nachenjua makinikia guest house na acacia wangu Mara ghafla nyoka akapita pembeni acacia wangu akapiga kelele muhudumu akaja na watu wakajaa Sana imesemekana nilikuwa nachenjua Bila kulipa kodi na nilikuwa nachenjua mtaani kwetu nifanyeje nijisafishe??? Natamani niichukue private jet niondoke kwa aibu..