Raha ya kanyagio lipate mkanyagaji!!!!!!!!

Raha ya kanyagio lipate mkanyagaji!!!!!!!!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
[h=3]RAHA YA KANYAGIO LIPATE MKANYAGAJI!!!!!!!![/h]Hivi mimi ndo vilishanishindaga hata kama nadrive lazima nivue kwanza, shida gani hizi jamanii?? wadada tusivizoee sana vitatuletea shida wakati wa kujifungua jamani... otherwise, enjoy!!!


​
[h=3][/h]
​
[h=3][/h]
​

​

​













[h=3]HODI!HODI! WABABA NA WAKAKA: RAHA LA KANYAGIO LIPATE MKANYAGAJI!!!![/h]












​
Kazi kwenu wababa na wakaka makanyagio ndio hao mshindwe nyinyi, bila kusahau RAHA LA KANYAGIO LIPATE MKANYAGAJI!!!!






[h=3]KANYAGIO IMARA NA LENYE KUIMIRI UGUMU WA MAZINGIRA!!![/h]
​
​

​
 
Yap hili ndio kanyagio,hayo mengine mapambo tu...

428106_10150629852156811_593374349_n.jpg
 
umeonaeee....lakini ukilivaa uvumilie tu hizo nyufa za miguu




Hizo nyufa ndio mwake hizo,huyo hata akipita kwenye miiba(mbigili sijui kama unazijua) bila viatu wala hasikii maumivu maana miiba itakuwa inavunjika yenyewe akiikanyangaga,sio sisi tuliozoea viatu mpaka sitting room...
 
Hizo nyufa ndio mwake hizo,huyo hata akipita kwenye miiba(mbigili sijui kama unazijua) bila viatu wala hasikii maumivu maana miiba itakuwa inavunjika yenyewe akiikanyangaga,sio sisi tuliozoea viatu mpaka sitting room...

mmm lakini atakua anachana mashuka, na kama neti ipo ndo kubadilisha kila siku maana.......
 
Hili linafaa wakati wa masika wakina dada changamkieni mvua zinakuja!
 

Attachments

  • kanyagio.jpg
    kanyagio.jpg
    44.2 KB · Views: 88
RAHA YA KANYAGIO LIPATE MKANYAGAJI!!!!!!!!







​


Hapa ndopo pake LV (Louis Vuitton)
 
Eti [MENTION] ameline[/MENTION]ni kweli mbali ya madhara uliyoyasema faida zake ni kuwa vinasaidia kutengeneza shape ya mwanamke??haswa idara ya hips
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom