Raha ya jf - flirting
Raha ya jf - kutajwatajwa wee bila sababu ya msingi!
raha ya JF ni kutojulikana tu. Mtu na heshima zake ana post pumba za ajabu..
hahaha raha ya jf - uzandiki na mbinu chafu kuhakikisha hatufungi pingu za milele
vitakushuka mwaka huu,uliona raha sio kudandia treni usiyojua inaelekea wapi,chezeiya charminglady wewe,kakuacha solemba si?ohahaha raha ya jf - uzandiki na mbinu chafu kuhakikisha hatufungi pingu za milele
Bishanga maneno ya mkosaji . naomba charminglady akujibu mwenyewe
hahahahaaa, hapo umenena. Wengine hapa ni watu na position zao ila likija suala la kuandika pumba huez amini kama ndo wenyewe!
Raha ya Jf BAN!