Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,431
VPN bana 🙌🏾😂😂😂 nimetoka Hokkaido-Japan kwa sasa nipo Yeongam Gurim Village, South Korea 🇰🇷!!! 📢
Pole mkuu, ngoja nikuletee cd ya installation kitMi mbona situmii VPN ila jf haina kwere 😂😂😂 naipata kizazi tu.
Muwe mnaweka hapa hizo screenshots za kigogo
Naiomba mkuuPole mkuu, ngoja nikuletee cd ya installation kit
Usikonde
Me nimeanza kuipta Jf Leo asubuhi Jana jioni ilikua hakuna kit u ,Mi mbona situmii VPN ila jf haina kwerenaipata kizazi tu.
Mkuu tunaomba updates kama hizi. Hatuna access na tweeter.