Raha sana eti!!!

ulinikaribisha vizuri mno
karibu sana mpenzi wangu!!
ukaulizwa
heeee
mkeo anayajua hayo
jibu lako
atayajulia wapi? na si vyema ajue...
copy kwa all Arusha wing + Tanga wing....

na hili ni lako pia
hidden passion mkubwa wangu!!
naandaa taratibu za kuongea na mwenyekiti Baba V...tuweke mambo sawa bin sawia
hukuchoka ukaendelea ukidhani sitafikishiwa ,asante wifi yangu Heaven on earth
yah yah! one of the above...please usimwambie yule wangu hata Heaven on earth coz huwa hachelewi kufikisha habari....

Aibu ikakushika
shem shem shem!! ushanibugisha.....
ngoja aje, nakimbia ujue!!

na mwisho unaniuliza hili kweli
do you see a thing?

mi nakupenda tu hata ukinirusha roho nakomaa tu
 
Last edited by a moderator:

ni mwendo mdundo tu kubanana hapo mpaka liambe hakuna kuachia ngazi
 
Last edited by a moderator:
nipe shavu kiwatengu wala usinibanie bure kwani mie sio mharibu ndoa za watu hapa cc acha kusitasita
nipe shavu nicheke kibombastic
 
Last edited by a moderator:
nipe shavu kiwatengu wala usinibanie bure kwani mie sio mharibu ndoa za watu hapa cc acha kusitasita
nipe shavu nicheke kibombastic

teh teh teh! ngoja nikufahamu zaidi mtu wangu....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…