Raha ntaipata wapi?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Hili naamini litamsaidia yeyote!
Raha inapatikana wapi kwenye umbo zima la mwanadam?
Kunusa?
Kuona?
Kugusa?
...............
...............

Sasa ni kuona wapi?
Kugusa wapi?
Kunusa wapi? Etc.

Tuelimishane.
 
Unategemea raha yako na yangu zitakuwa sawa?..,wewe nusa,gusa,angalia popote pale moyo wako unaposikia raha na hapo ndipo patakapokuwa panakupa raha
 
Raha inapatika kwa kulamba!
Si ushawahi lamba asali weye!?
Basi lamba na chumvini na sio kwenye chombo kilichotiwa chumvi.
 
Raha inapatika kwa kulamba!
Si ushawahi lamba asali weye!?
Basi lamba na chumvini na sio kwenye chombo kilichotiwa chumvi.

Kisima,

Alambe kisimani!!??... Bakulini? Kisahanini?

Au,Sehemu yenye kufanana na jina lako?.....

Duniani shida tupu mkuu.....hata ukiwa milionea.....well, mtu anapata kulamba laha hapa na pale...lakini mhh, yataka moyo.

JF kweli sasa inatumika kuondoa frustration!! Matafrani ya maisha au vipi wadau???

Haya, Maalim Jumar fata ushauri ulopewa;"Basi lamba na chumvini na sio kwenye chombo kilichotiwa chumvi"

Ukiipata raha urudi utudokeze na sisi ni wapi uliporamba!!
 
Kwakweli hata mi nakubaliana na kulamba...hata unapogundua mahali hasa pa kulamba
 
mmmhh mie kutekenywa ...

lakini zote napokea...
na kila kipengele kinautamu wake....
 
Kisima,

Alambe kisimani!!??... Bakulini? Kisahanini?

Au,Sehemu yenye kufanana na jina lako?.....

Duniani shida tupu mkuu.....hata ukiwa milionea.....well, mtu anapata kulamba laha hapa na pale...lakini mhh, yataka moyo.

JF kweli sasa inatumika kuondoa frustration!! Matafrani ya maisha au vipi wadau???

Haya, Maalim Jumar fata ushauri ulopewa;"Basi lamba na chumvini na sio kwenye chombo kilichotiwa chumvi"

Ukiipata raha urudi utudokeze na sisi ni wapi uliporamba!!

Chumvini ndio wapi?
 
JF!
Mnazidi niweka njia panda mwenzenu...mnanizungusha sana.
Kisimani ...mara bakulini...
Hizi ni sehem zipo katika umbo la mwana-adam?
Ndio wapi sasa?
 
Kulamba, Kunusa, Kugusa na pia Kuona zote ni raha tupu kama ukijua ni wapi pa kulamba, kunusa, kugusa na kuangalia.
 
Back
Top Bottom