Raha ntaipata wapi?

hizo zote ni senses na huweza kuwa na raha na karaha, kiwango hutegemea, aina, mhusika, fikra ana hisia za wakai, mazingira na intensity. for me zote zaweza kuleta raha kubwa sana na pia zaweza kugeuka karaha vilevile depending on the mentioned factors
 
Viungo vya binadamu vyote vinategemea. Huwezi kusema mkono, sababu wewe huwezi kunusa uukate; au pua sababu wewe huwezi kuona, uikate; au mdomo kwa sababu hauwezi kunusa, uukate; au macho sababu hayawezi kusema, uyatoe... HUWEZI KUTOFAUTI HIVI VIONJO....VYOTE VINATEGEMEANA
 
Je ww raha wazipata wapi?
 
Back
Top Bottom