Raha jipe mwenyewee!

Raha jipe mwenyewee!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Huko Kigamboni licha ya kupanda bei ya pantoni lakini bado kuna upepo wa bah´ri!

kurasini.jpg
 
mmmh hii sio kigamboni banaa...joto hilo na minguo sweta sio kweli..hii itakuwa us mwanangu.
 
Ha ha ha..... ni kigamboni baba angalia vizuri utaliona lile bomba ninalopeleka mavi baharini kutoka kwa mkulu
 
Mpira pasi mwana, tupia namba zake za simu.
 
kweli aisee. hii kurasini tena barakuda. ukiangalia kwa pembeni utaiona mikadi pale.
 
Back
Top Bottom