Raha jipe mwenyewe

Raha jipe mwenyewe

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1795678_508233405960704_99474784_n.jpg
 
raha jipe mwenyewe at your own risk...
 
hii mbona ni photoshop - angalia hiyo kamba ya bembeya ilipofingwa
 
heri yake aliejiwekea kwake kuliko alieenda kubembea ulaya..
 
Ha ha ha ha ha ha haaaaah! Huo utepe mmoja ukikatika tu atabembea mpaka chini ya hilo bonde
 
Huyo atakua mzungu tu...
Ni ubunifu mzuri.
Hio kamba lazima iwe ya chuma/wire.

Mbogo hawezi kuhatarisha maisha yake .
 
tree house sawa ila yy alipo kule akidondoka anaongezewa urefu wa jina.marehemu......
 
Back
Top Bottom