Raha jipe mwenyewe!!!

Huh ndio mwanzo wa kirikuu kupanda bei,kumbe kina matumizi mengi sana sasa being yake itapaa
 
wazungu kipindi cha summer ndio zao,hata kwenye matipa wanaweka maji wanajiachaia,
 
Huku kwetu itabidi uwe na bunduki ukienda jisaidia tu ukirudi unakuta bonge la foleni ... watu wanajichotea
 
Huku kwetu itabidi uwe na bunduki ukienda jisaidia tu ukirudi unakuta bonge la foleni ... watu wanajichotea
Mkuu uko kwenu inaelekea Kuna shida ya maji sn
 
Reactions: ydn
Na sasa hivi joto la dar inafaa sana hiyo. Hiyo fursa ya kukodisha kirikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…