Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
[h=3]RAHA JIPE MWENYEWE USISUBIRI KUPEWA!!!!!!!!!!!!!!!!!![/h]Jamani duniani kweli hatulingani, kama vidole vya mikono visivyolingana, yaan kuna watu wanakula raha hapa duniani jamani acha tu, yaan ndani ya hili dude ndo kuna mambo yote hayooo!!! du kweli sema mimi masikini na si sisi ni masikini, kuna watu wanakula raha bwana!!!

Inabidi ujitie moyo kwamba yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo kama alivyosema mfalme Suleiman kwenye kitabu cha Mhubiri katika Biblia.
 
Chakula chao sikukipenda kwa kweli, halafu watu wa Mexico usikae nao chumba cha jirani, wana fujo sana na mihadarati yao. Lakini nzuri anyway, kama pantoni letu jipya la pale magogoni
 
Kweli kuna watu wanakula Bata mpaka Kuku anaona wivu.
Ila Biblia inasema "Nchi na vyote viijazavyo ni Mali ya Bwana" Huna kitu cha Binadam hapo.
 
Ngoja lizame hilo dude ndo utajua walio ardhini wana raha'aje!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
pia raha itakolea zaidi ikizama kama titanic..ndio utaona shangwe..
 
Inabidi ujitie moyo kwamba yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo kama alivyosema mfalme Suleiman kwenye kitabu cha Mhubiri katika Biblia.

Ukiwa huna bana... Sizitaki mbichi hizi.
 
Kweli kuna watu wanakula Bata mpaka Kuku anaona wivu.
Ila Biblia inasema "Nchi na vyote viijazavyo ni Mali ya Bwana" Huna kitu cha Binadam hapo.

Mabwana wapo wengi unamaanisha yupi?
 
Ni kweli Ukichakarika kwa malengo na kutafuta kama mtumwa ipo siku utatumia kama mfalme...
 
Inabidi ujitie moyo kwamba yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo kama alivyosema mfalme Suleiman kwenye kitabu cha Mhubiri katika Biblia.

ni kweli mambo yote ni ubatili lakini kuna vitu vingine hata wewe ungeweza kuviaccess ungevifurahia, kwani hujawahi kutembelea kivutio chochote cha kitaifa au mahala popote? hayo nayo ni ubatili tu, ila hata maandiko yanasema mungu huwatajirisha wanaompenda nao watazifurahia hazina zao MITHALI 8:28
 
pia raha itakolea zaidi ikizama kama titanic..ndio utaona shangwe..

kwanini kuwa na wazo la kuzama tu jamani.... siri ya kifo aijuaye ni Mungu pekee, fursa za kuenjoy zikiwepo tuenjoy kama hazipo tusisingizie na kuombea mabaya
 
Inabidi ujitie moyo kwamba yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo kama alivyosema mfalme Suleiman kwenye kitabu cha Mhubiri katika Biblia.

pamoja na yote hayo aliyosema suleiman the king, Mungu pia alijua watu wanapaswa kufurahi thats why aliwapa akili ya kuunda vitu kama hivi, ila ingekua ubatili visingekuwepo na yeye suleiman baada ya kuenjoy weee akaona ya nini sasa? yote ni ubatili tu hakuna sabab ya kujivunia, so ubatili unakuja pale mtu anapojivunia alicho nacho but kama anaenjoy bila dharau au kujisifia au kujisikia, hakuna ubatili hapo, ila lazima tujifariji kwa maneno kama hayo.
 
Back
Top Bottom