Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kweli kuna watu wanakula Bata mpaka Kuku anaona wivu.
Ila Biblia inasema "Nchi na vyote viijazavyo ni Mali ya Bwana" Huna kitu cha Binadam hapo.

Mbona wengine wanasema ni vitu vya shetani eti kupitia kwa wakala wao Fremason? mbona mnanichanganya sasa ukiwa tajiri wanasema eti wewe freemason watika wewe unasema vitu vyote ni ni mali ya bwana au bwana shetani?
 
Back
Top Bottom