Raha jipe mwenyeee, UKAWA msigezee hapa

ccm walifikiri dr mihogo angebadilisha upepo kumbe akaongeza watu hasira!!!
 
Huyu mzee nimekutana nae asubuhi,ila yawezakuwa kaahidiwa ubunge viti maalumu.

Hakuna lolote ndugu yangu...wajinga wengi...matatizo yote yaliyosababishwa na ccm bado kuna mijitu inataka kuwapa kura...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…