Nimeipenda hii ya rage"nikiona amani inatoweka simba naitisha mkutano mchague viongozi wenu""hahaa

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Lile sakata la mwenyekiti wa simba na pesa za mchezaji okwi limeendelea na jana nimeipenda
kauli ya mh rage kwamba nikoona amani inatoweka simba basi nitaitisha mkutano wachague
viongozi watakaowataka

mh rage hivi mpakas asa umeona simba kuna amani kweliiiiiiiii????kwa nini ifike huko ama aunasubiri
wachome jengo la simba ama nyumba yako ndipo ujue amani inatoweka

embu ongeza na akili yetuu mh ufanye uamuzi wa haraka tafadhali/..tusisubiri mpaka uondolewe kwa nguvu we ni mh aibu hii itakuharibia soko ata ukiomba kugombea channeta mh
 
Back
Top Bottom