Heshima kwenu wana if,
Siku ya jumatano nilikuwa nikiangalia bunge la Jmt kupitia tbc,nilibahatika kusikiliza baadhi ya michango ya wabunge.
Ilifika zamu ya Rage alianza kumtetea Jk sio mdini kwa kutaja idadi ya mawaziri,wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
Kwa kunukuu kwake idadi ya viongozi hao ilionekana Waislam ni wachache sana.
Alichonishangaza ni kusema kwa idadi hiyo aliyoitaja Jk sio mdini.
Nachojiuliza ili Jk awe mdini ni mpaka idadi ya viongozi waislam wawe wengi ndio udini utaonekana?
... Maendeleo ya waumini au dini ni ubunifu binafsi, wala si kutegemea nani yupo madarakani. Endeleeni kuitegemea siasa kufanya maendeleo ya dini, kama ambavyo mlipewa matumaini kwenye ilani ya CCM ya uchaguzi wa mwaka 2005. Sijui mwaka 2015 watawaahidi kitu gani, nasema endeleeni kuitegemea siasa na CCM kuwa itatimiza ahadi inazowapa kila uchaguzi unapokaribia! Nikikumbuka maneno ya JK alivyoruka kuwa sio yeye aliyeweka ahadi ya Mahakama ya Kadhi kwenye ilani ya CCM, nawaonea huruma wanaoendelea kujipa matumaini. Maybe 2015 tutapata muisilamu mwingine wa kumtegemea, au maybe JK ataongezewa muda wa kipindi cha tatu! Wenzenu wanapiga kazi kila idara za umma na private kwa kutumia taaluma zao, ninyi mnasubiri JK awateue, sasa sijui nafasi za kuteua ziko ngapi!...Lema kafichua yaliyojificha kwenye vifua vyenu mnashindwa kupambana na CCM mtaweza na Uislam?
... Maendeleo ya waumini au dini ni ubunifu binafsi, wala si kutegemea nani yupo madarakani. Endeleeni kuitegemea siasa kufanya maendeleo ya dini, kama ambavyo mlipewa matumaini kwenye ilani ya CCM ya uchaguzi wa mwaka 2005. Sijui mwaka 2015 watawaahidi kitu gani, nasema endeleeni kuitegemea siasa na CCM kuwa itatimiza ahadi inazowapa kila uchaguzi unapokaribia! Nikikumbuka maneno ya JK alivyoruka kuwa sio yeye aliyeweka ahadi ya Mahakama ya Kadhi kwenye ilani ya CCM, nawaonea huruma wanaoendelea kujipa matumaini. Maybe 2015 tutapata muisilamu mwingine wa kumtegemea, au maybe JK ataongezewa muda wa kipindi cha tatu! Wenzenu wanapiga kazi kila idara za umma na private kwa kutumia taaluma zao, ninyi mnasubiri JK awateue, sasa sijui nafasi za kuteua ziko ngapi!
Amani iwe kwenu wote wana JF,Namtetea JK kuwa si mdini na nampongeza kwa kuhimili hali hii ngumu.Kwanza amekuwa mwathirika wa udini na kama angekuwa mdini leo hii angekuwa ameishatimiza matakwa yote ya waislam.Mahakama ya kadhi,OIC ni mojawapo ya hayo matakwa lakini mpaka leo hajaweza kufanya hivyo.Labda niombe mheshimiwa mtoa mada,umesema JK kuwa mdini si kuweka idadi kubwa ya viongozi waislamu je ni yapi yanakushangaza?
nyie si ndo wabunifu siku hizi mmeanzisha mradi wa kuchimbua majini,mashetan na mapepo makanisani kwa njia ya Mpesa na tigo pesa, Uislam umekuwepo kabla ya Tanzania, Hata ikitokea Baraza la maaskof ndo likawa baraza la mawazir na Pengo akawa ndo mkuu wa nchi hakuna mwenye uwezo wa Kuzima nuru ya Allah, mmetakiwa mthibitishe kuwa Jk anawapendelea waislam kwenye uteuzi mkaanza kujambajamba wewe unarudia tena propaganda hizo ambazo waliokufundisha wametakiwa wathibitishe wanaunya unya, Tumia akili kufikiri badala ya kutumia kutunza kumbukumbu za propaganda eti wakristo wako bize wanapiga kazi hivi unadhan tatizo la Unemployment mitaani linawahusu waislam pekee?.wakizungumzwa wakristo msipende kuwaangalia wa Masaki pekee hata wale wasiojuwa kusoma na kuandik kule Ilulangulu Tabora, wanaochuna ngoz kule tukuyu au kuuwana kule Tarime wote ni wakristo wenzenu mnaojidai eti mmesoma na mnaakili sana!
Heshima kwenu wana if,
Siku ya jumatano nilikuwa nikiangalia bunge la Jmt kupitia tbc,nilibahatika kusikiliza baadhi ya michango ya wabunge.
Ilifika zamu ya Rage alianza kumtetea Jk sio mdini kwa kutaja idadi ya mawaziri,wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
Kwa kunukuu kwake idadi ya viongozi hao ilionekana Waislam ni wachache sana.
Alichonishangaza ni kusema kwa idadi hiyo aliyoitaja Jk sio mdini.
Nachojiuliza ili Jk awe mdini ni mpaka idadi ya viongozi waislam wawe wengi ndio udini utaonekana?
Tumewastukia mkibanwa mnabadili hoja, Sasa kama jakaya sio mdini kwenye Uteuzi mnamaanisha mdini kwenye kusambaza Maji na Umeme? Mwisho wa Propaganda Aibu leo unajifanya kumjadili Rage kwani Wassira na Mwandosya si wamesema hivyo hivyo kwanini umeamua kumchagua Rage na kumuacha Wassira,Mwandosya,stella Manyanya na Mwigulu ambao nao wamemtetea Jakaya kuwa sio mdini.Lema kafichua yaliyojificha kwenye vifua vyenu mnashindwa kupambana na CCM mtaweza na Uislam?Mfupa uliowashinda FBI na CIA wataweza kina Lema, selasini na Msigwa?

Kama vile ccm inavyopambana na kuwagandamiza wakristo nasi jamii ya kikristi itwaonyesha
Tatizo wakristo wanaishi kwa hofuCpat picha kama ingekua bungen kuna watu wana majina ya sheikh/ustadhat flan jins ambavyo wangekua mjadala kwa christians wa nchi hii, mbona kna wachungaj wabunge au waliowachagua n wakristo peke yao?, wagombea urais padre (slaa)&mchungaj(mtikila)? Mbona hatuckii kuitwa udin?? Na uktaka kujua kna nan wadini ngoja acmame mgombea kwa "cheojina" ustadh/sheikh ndo uone balaa hata kama anagombea udiwan, thnk dply bhana!
mkuu kama kutimiza ahadi ya KADHI ni udini basi JK ni mdini aliyekubuhu kwani yeye ndiye aliyeweka KADHI katika sera za ccm kwenye kampeni.