KUKU-DUME
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 474
- 196
Akizungumza na radio CLOUDS FM adai sport club villa imepata wapi nguvu ya kumuuza emanueli okwi kwan swala lao lipo FIFA.pia anasema yeye kachaguliwa na wanachama 1280 na tawi la MPIRA PESA lina wanachama 200.hivyo haon sababu ya kujiuzulu labda yangekuwa matawi yote angejiuzulu kwan mpira PESA wanaishi porin.
Nae zakaria hanspope amesema okwi sio mali ya simba kwan walisha muuza haon sababu ya wanachama na wapenz wa simba kuhoji kwa kwa nn kaenda yanga.
Rage anasema haon sababu ya kujiuzulu ila ikimpasa kufanya hivyo atafanya na atafanya hivyo januari na atakaa pemben wachague uongozi mpya kuanzia mwenyekiti hadi nafasi nyingine.