Rage.kunautata juu ya usajili wa okwi kwenda yanga.pia akubali kujiuzuru

KUKU-DUME

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
469
Likes
94
Points
45
KUKU-DUME

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2013
469 94 45
Akizungumza na radio CLOUDS FM adai sport club villa imepata wapi nguvu ya kumuuza emanueli okwi kwan swala lao lipo FIFA.pia anasema yeye kachaguliwa na wanachama 1280 na tawi la MPIRA PESA lina wanachama 200.hivyo haon sababu ya kujiuzulu labda yangekuwa matawi yote angejiuzulu kwan mpira PESA wanaishi porin.Nae zakaria hanspope amesema okwi sio mali ya simba kwan walisha muuza haon sababu ya wanachama na wapenz wa simba kuhoji kwa kwa nn kaenda yanga.

Rage anasema haon sababu ya kujiuzulu ila ikimpasa kufanya hivyo atafanya na atafanya hivyo januari na atakaa pemben wachague uongozi mpya kuanzia mwenyekiti hadi nafasi nyingine.
 
gmosha48

gmosha48

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
2,210
Likes
755
Points
280
gmosha48

gmosha48

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
2,210 755 280
Yale yaleeee.. ya Mbuyu Twite! ... Dola millioni thelathini alfu! Sijui kama ameshalipwa walau dola millioni moja alfu!
 
Jospina

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Messages
2,418
Likes
240
Points
160
Jospina

Jospina

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2013
2,418 240 160
Akizungumza na radio CLOUDS FM adai sport club villa imepata wapi nguvu ya kumuuza emanueli okwi kwan swala lao lipo FIFA.pia anasema yeye kachaguliwa na wanachama 1280 na tawi la MPIRA PESA lina wanachama 200.hivyo haon sababu ya kujiuzulu labda yangekuwa matawi yote angejiuzulu kwan mpira PESA wanaishi porin.Nae zakaria hanspope amesema okwi sio mali ya simba kwan walisha muuza haon sababu ya wanachama na wapenz wa simba kuhoji kwa kwa nn kaenda yanga.Rage anasema haon sababu ya kujiuzulu ila ikimpasa kufanya hivyo atafanya na atafanya hivyo januari na atakaa pemben wachague uongozi mpya kuanzia mwenyekiti hadi nafasi nyingine.
hapo kwenye red umetudanganya, haya ndio maoni ya Hans pope
HANS POPPE AWAAMBIA YANGA SC; “KWA OKWI WAMELIWA”
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba watani wao wa jadi, Yanga SC wameingia mkenge kumsajili Emmanuel Okwi na labda watamtumia kwenye mchezo wa Nani Mtani Jembe pekee, lakini zaidi ya hapo hatacheza Jangwani kwenye michuano yoyote rasmi.
Akizungumza na BIN ZUBEIRY jioni hii, Kapteni huyo wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), amesema kwamba Okwi ni mchezaji halali wa Etoile du Sahel ya Tunisia na hawezi kucheza Yanga.

Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Messages
10,618
Likes
4,105
Points
280
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2011
10,618 4,105 280
Okwi yule Govinda wa Sintah!
 
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,196
Likes
346
Points
180
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,196 346 180

Akizungumza na BIN ZUBEIRY jioni hii, Kapteni huyo wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), amesema kwamba Okwi ni mchezaji halali wa Etoile du Sahel ya Tunisia na hawezi kucheza Yanga.

[/FONT]Alichezeaje Sports Club Villa? FIFA iliamuru achezee Villa. Inasemekana ni kwa miezi sita. Tujiulize iweje uhamisho wa mchezaji usimamiwe moja kwa moja na FIFA? Ni kwa sababu Etoile walikiuka majukumu ya kumlipa Okwi haki zake kama mchezaji, huku wakimn'gan'gania. Ina maana ameidhinishwa rasmi kuchezea Villa. Sasa anakuwaje mchezaji halali wa Villa? Iweje Villa wasiwe na haki ya kumuuza? Au Hans Pope anafananisha swala hili na mauzo yaliyoshindikana ya Ngassa kwenda El Mireikh?
 
KUKU-DUME

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Messages
469
Likes
94
Points
45
KUKU-DUME

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2013
469 94 45
hapo kwenye red umetudanganya, haya ndio maoni ya Hans pope
HANS POPPE AWAAMBIA YANGA SC; “KWA OKWI WAMELIWA”
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba watani wao wa jadi, Yanga SC wameingia mkenge kumsajili Emmanuel Okwi na labda watamtumia kwenye mchezo wa Nani Mtani Jembe pekee, lakini zaidi ya hapo hatacheza Jangwani kwenye michuano yoyote rasmi.
Akizungumza na BIN ZUBEIRY jioni hii, Kapteni huyo wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), amesema kwamba Okwi ni mchezaji halali wa Etoile du Sahel ya Tunisia na hawezi kucheza Yanga.
Ndicho nilichosikia akisema hanspope sasa mi nimekufanganya nn?
 
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,196
Likes
346
Points
180
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,196 346 180

Akizungumza na BIN ZUBEIRY jioni hii, Kapteni huyo wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), amesema kwamba Okwi ni mchezaji halali wa Etoile du Sahel ya Tunisia na hawezi kucheza Yanga.

[/FONT]Alichezeaje Sports Club Villa? FIFA iliamuru achezee Villa. Inasemekana ni kwa miezi sita. Tujiulize iweje uhamisho wa mchezaji usimamiwe moja kwa moja na FIFA? Ni kwa sababu Etoile walikiuka majukumu ya kumlipa Okwi haki zake kama mchezaji, huku wakimn'gan'gania. Ina maana ameidhinishwa rasmi kuchezea Villa. Sasa anakuwaje mchezaji halali wa Villa? Iweje Villa wasiwe na haki ya kumuuza? Au Hans Pope anafananisha swala hili na mauzo yaliyoshindikana ya Ngassa kwenda El Mireikh?
Samahani, hapo kwenye wekundu pasomeke 'Etoile'
 
MUSONI

MUSONI

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
652
Likes
163
Points
60
MUSONI

MUSONI

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
652 163 60
Kaka Pope hiyo ndio YANGA kwa malengo na hesabu
 
TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
13,816
Likes
71
Points
0
TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
13,816 71 0
Rage atimuliwe tu kala zile dola 300,000/=
 
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Messages
3,247
Likes
405
Points
180
KASHOROBANA

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2011
3,247 405 180
duh simba mlichemka kitambo, A rage ni mwizi na alifungwa kwa kukutikana na hatia ya wizi pale FAT, miSimba ilivokua ya ajabu ikamchagua km mwenyekiti dn after palepale inaanza kulalama kuwa kawaibia ivi 2waeleweje?
na nyie wezi tu, mnalalama kwan mwizi akiibiwa ugeuka mbogo bhana
 
M

Masuke

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Messages
4,609
Likes
139
Points
160
M

Masuke

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2008
4,609 139 160
Huko kwenye FA ya Uganda kwenyewe bado kuna utata, sijui hata hiyo ITC imetolewa na nani, maana CEO wa FUFA anataka ufafanuzi kutoka FIFA kwamba imekuwa kuwaje Okwi asajiliwe kutoka Villa wakati CAF wanamtambua kama mchezaji wa du Sahel. Yanga wanasema wamemnunua kutoka Villa naye mkurugenzi wa Villa anasema Okwi amesajiliwa kama mchezaji huru yaani ni sarakasi juu ya sarakasi. Ngoja tuone FIFA watasemaje juu hizi sarakasi.

Source hizi hapa mtasoma wenyewe.

Watson – We need FIFA clarification over Okwi's transfer - MTNFootball

CAF rules Okwi, Walusimbi out of CHAN - MTNFootball

http://chimpreports.com/index.php/m...5022-okwi-in-controversial-tanzania-move.html
 
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,390
Likes
1,182
Points
280
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,390 1,182 280
hapo kwenye red umetudanganya, haya ndio maoni ya Hans pope
HANS POPPE AWAAMBIA YANGA SC; “KWA OKWI WAMELIWA”
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba watani wao wa jadi, Yanga SC wameingia mkenge kumsajili Emmanuel Okwi na labda watamtumia kwenye mchezo wa Nani Mtani Jembe pekee, lakini zaidi ya hapo hatacheza Jangwani kwenye michuano yoyote rasmi.
Akizungumza na BIN ZUBEIRY jioni hii, Kapteni huyo wa zamani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), amesema kwamba Okwi ni mchezaji halali wa Etoile du Sahel ya Tunisia na hawezi kucheza Yanga.

Acha unazi mkuu....

Mwenzio kamsikia Hans Pope akiongea Clouds FM....Wewe umesoma maelezo ya kidaku ya Mahmoud Zubeiry ambaye siku zote anajulikaa huandika habari za kidaku na kikanjanja bila kuzingatia maadili ya kazi yake...

FYI hauwezi hata siku moja kuona Zubeiry akiandika habari mbaya dhidi ya Hans Pope wala Bakhresas na Azam FC...Hii ni kwa sababu hawa ndio wanamuweka jijini...Ndio wadhamini wakuu wa Blog yake, hawezi kuwaandika vibaya ama kuwakosoa hata siku moja kulinda kitumbua chake...

Endapo Yusuph Manji angekuwa mdhamini wa Bin Zubeiry blog katu usingeona akiiponda ama kuikosoa Yanga...Chezea njaa wewe
 
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,196
Likes
346
Points
180
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,196 346 180
Huko kwenye FA ya Uganda kwenyewe bado kuna utata, sijui hata hiyo ITC imetolewa na nani, maana CEO wa FUFA anataka ufafanuzi kutoka FIFA kwamba imekuwa kuwaje Okwi asajiliwe kutoka Villa wakati CAF wanamtambua kama mchezaji wa du Sahel. Yanga wanasema wamemnunua kutoka Villa naye mkurugenzi wa Villa anasema Okwi amesajiliwa kama mchezaji huru yaani ni sarakasi juu ya sarakasi. Ngoja tuone FIFA watasemaje juu hizi sarakasi.

Source hizi hapa mtasoma wenyewe.

Watson – We need FIFA clarification over Okwi's transfer - MTNFootball

CAF rules Okwi, Walusimbi out of CHAN - MTNFootball

Chimpreports.com-Uganda News - Okwi In Controversial Tanzania Move
1. Waandishi wetu wamezoea kuwafanya wasomaji kuwa misukule. Hiyo habari ya FUFA inazua maswala mengi ambayo mwandishi alishindwa kuyauliza kwa niaba ya wasomaji. Kwa mfano, FUFA wataihoji vipi FIFA kutaka ufafanuzi kwa jambo walilofanya FUFA wenyewe? Kwa nini wasiulizane wenyewe kwa wenyewe, na kama kuna ukiukwaji wa taratibu, wakachukuliana hatua?
2. Mwandishi alipaswa kuhoji na kufuatilia iwapo utaratibu wa Transfer Matching System ulitumika kumhamisha Okwi. Kwa utaratibu huu unaoratibiwa na FIFA yenyewe, mchezaji yeyote mwenye utata hawezi kuidhinishwa. Uhamisho wa mwanzo wa Asamoah kwenda Yanga ulishindwa kwa sababu hiyo. Jawabu la hoja hii ndio jawabu ya swala zima la Okwi, lakini mwandishi alishindwa kumhoji mtoa habari.
2. CHAN ni mashindano ya ndani ya CAF. Kanuni zake haziwezi kuwa kigezo cha kanuni za FIFA ambayo yenyewe haina mashindano kama hayo.
 
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,390
Likes
1,182
Points
280
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,390 1,182 280
1. Waandishi wetu wamezoea kuwafanya wasomaji kuwa misukule. Hiyo habari ya FUFA inazua maswala mengi ambayo mwandishi alishindwa kuyauliza kwa niaba ya wasomaji. Kwa mfano, FUFA wataihoji vipi FIFA kutaka ufafanuzi kwa jambo walilofanya FUFA wenyewe? Kwa nini wasiulizane wenyewe kwa wenyewe, na kama kuna ukiukwaji wa taratibu, wakachukuliana hatua?
2. Mwandishi alipaswa kuhoji na kufuatilia iwapo utaratibu wa Transfer Matching System ulitumika kumhamisha Okwi. Kwa utaratibu huu unaoratibiwa na FIFA yenyewe, mchezaji yeyote mwenye utata hawezi kuidhinishwa. Uhamisho wa mwanzo wa Asamoah kwenda Yanga ulishindwa kwa sababu hiyo. Jawabu la hoja hii ndio jawabu ya swala zima la Okwi, lakini mwandishi alishindwa kumhoji mtoa habari.
2. CHAN ni mashindano ya ndani ya CAF. Kanuni zake haziwezi kuwa kigezo cha kanuni za FIFA ambayo yenyewe haina mashindano kama hayo.
Kiukweli mkuu wangu Tanzania hatuna waandishi wa Habari za Michezo...Wengi wao ni wachumia tumbo ambao wanaongozwa na hisia za udaku zaidi kuliko maadili yao ya kazi....
 
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,390
Likes
1,182
Points
280
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,390 1,182 280
Hivi tatizo hapa ni Okwi kuchezea Yanga ama Simba kutolipwa fedha zao na Etoile du Sahel?, kama ishu ni Simba kutolipwa fedha na Etoile du Sahel na kama kweli walifikia makubaliano ya kulipana $ 300 za Kimarekani mi nilitegema Simba watabanana na Etoile na ikiwezekana kufikishana kwenye vyombo vya sheria ili walipwe fedha zao...

Mbona wana Simba mpaka leo hawajahoji zilikokwenda fedha za malipo ya Mbwana Samatta na Patrick Ochan kwenda TP Mazembe?...

Na jana nimemsikia Rage akiongea Radio One akihojiwa na Maulid Kitenge na kusema kwamba katika kufuatilia suala la fedha za Okwi ametoa mfukoni mwake fedha $ 5000 kwa ajili ya FIFA kushughulikia suala hilo, na katika naelezo yake hayo alikuwa akijigamba kwamba ameisaidia Simba kulipa fedha hizo kama anavyofanya wakati mwingine, hii ni dharau na dhihaka kubwa kwa Klabu kubwa kama Simba kulipiwa fedha hizo na Rage na wanamuacha Rage akijigamba kwamba ameisaidia timu kubwa kama Simba kulipa...Pamoja na majigambo yake hayo Rage alibanwa na Maulid Kitenge na kushindwa kujibu baadhi ya maswali...

Nusura pekee ya Simba sasa hivi ni kumuondoa Rage kwenye nafasi ya Uenyekiti..
 
MUSONI

MUSONI

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
652
Likes
163
Points
60
MUSONI

MUSONI

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
652 163 60
Rage ganga yako ya ayokushinda tuachie OKWI wetu.....Ooooookidedeaaaaa SEMA YANGA JEMBE?
 
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,196
Likes
346
Points
180
mwangalingimungu

mwangalingimungu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,196 346 180
Kiukweli mkuu wangu Tanzania hatuna waandishi wa Habari za Michezo...Wengi wao ni wachumia tumbo ambao wanaongozwa na hisia za udaku zaidi kuliko maadili yao ya kazi....
Kama uandishi wa habari ungekuwa na orodha ya viwango kama ile ya FIFA Coca Cola rankings, Tanzania ingefanya zaidi kuliko hata kwenye soka. Ingekuwa rahisi zaidi kuonekana kwenye chati hio kwa kuisoma kutoka chini!
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,928
Likes
19,608
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,928 19,608 280
Mkuu nimemnukuu Rage alviyokuwa akiongea kwa uchungu kuhusu Mbuyu twite. Sii maneno yangu mkuu.
Mpaka kesho huwa sizielewi akili za watu wa Tabora na akili za wanachama wa Simba, sijui Rage aliweza vipi kuwadanganya hadi wakaingia mkenge? Au ndio walewale kwamba Rage anajuwa fitna.
 
Forum statistics

Threads 1,251,143
Members 481,585
Posts 29,759,056