Rage.kunautata juu ya usajili wa okwi kwenda yanga.pia akubali kujiuzuru

The Acting Competitions Director of the Uganda FA, Decolas Kiiza, has clarified that FIFA cleared striker Emmanuel Okwi to join Tanzanian league champs Young Africans FC.

"Yes we wrote to FIFA and they said the player was free to transfer," Kiiza told MTNFootball.com.

Early this week the FA's Chief Executive Officer, Edgar Watson, said they had contacted FIFA to get more clarification on the issue.

Young Africans signed Okwi early this week on a two-year deal and yet FIFA had provisionally released the player to join local side SC Villa from Tunisia's Etoile du Sahel.

But Okwi's former team, Simba SC in Tanzania, is also unhappy that the Tunisian giants did not pay the full transfer package when Okwi moved early this year.

Okwi is expected to fly out to Dar es Salaam on Friday to complete the contract details with Young Africans and also feature against former side Simba SC in a special encounter on Saturday.

Allan Papaok, a director in the company that has rights over the player, said today that they have not finalised the deal for Okwi's move.

"We might fly there this weekend to conclude the deal," he added.

However, many football administrators in Uganda are wondering how FIFA could clear Okwi to transfer to Young Africans, yet he was released on a provisional basis to join SC Villa from Etoile du Sahel, who he claimed were not meeting contractual obligations.

Kiiza – FIFA cleared Okwi move to Tanzanian Club
 
Sawa Mkuu, lakini kwanza operation ya hiyo software inahitaji utaalamu na wataalamu, ambao kwa huku kwetu si aghlabu kuwa naye mwanzoni tu mwa mfumo fulani kutumika, hasa wa kimataifa.

Kuhusu kuhusika kwa CAF kwenye kwenye usajli, kosa liko kwenye hapo nilipoweka wekundu, na kwa hivyo CA hawawezi kuepuka kosa la kumhalalisha mchezaji. FIFA walipoona hilo ndio wakaja na MTS na nina hakika kama bado wataona wanashindwa kudhibiti udanganyifu kwenye uhamisho, watakuja na mkakati mwengine.

Ama kuhusu kupokwa pointi baada ya udanganyifu kubainika, nakubaliana na wewe. Lakini ukiangalia kesi za akina Cannavaro na ile ya Mazembe ni tofauti na za AC Milan na Juve. Hizi za Juve na Milan udanganyifu ulifanyika nje ya uwanja, nyuma ya pazia. Ilikuwa ni vigumu kubaini kwamba matokeo yalipangwa. Hili la akina Cannavaro na TP Mazembe halikufanyika nyma ya pazia. Kulikuwa na pre-match meetings ambapo makamisaa wangeweza kubaini mchezaji gani alikuwa na kadi inayomziwia kucheza, yupi usajili wake una utata n.k. Kuziadhibu timu bila ya TFF au CAF kuwaadhibu wahusika wao wenyewe kwanza ni udhaifu ulio dhairi upande wao.
Sawa mkuu, tukirudi kwenye hoja yenyewe suala la huyu jamaa kutua Yanga maswali ni mengi kuliko majibu, labda kama habari tunazopata hazina ukweli lakini kama zina ukweli japo wa asilimia hata 80 basi maswali ni mengi sana pengine hata Okwi mwenyewe, Bin Kleb pamoja na meneja wa Okwi ambaye ni kiongozi wa Villa bado wanaweza wasiyajibu, kikubwa tusubiri tu FIFA wataamuaje. Ni kweli Rage ni mjanja mjanja na uongo mwingi kwa hili la du Sahel huenda kabisa akawa hajapokea hata shilingi na kama alipokea basi labda ilikuwa ni ujanja na du Sahel walitumika tu kwamba aende huko lakini baadaye arudi Yanga kama ilivyokuwa kwa Wasso na hela atakuwa alipokea kutoka Yanga na sio du Sahel, tusubiri ukweli utadhihirika na kila mmoja atakuwa happy, wazungu wana msemo wao wanasema Truth is the daughter of time au Time is the mother of the truth.
 
i can't agree with you more. Ila kwa ninavyoliona, ni jambo dogo sana ukiondoa uzito linalopewa na magazeti. Ni kujua tu iwapo MTS ilitumika ama la. Kama ilitumika. iTC ilitokaje. Haya mengine yote nayaona ni non-issues. Jawabu ni mojawapo kati ya mbili tu, ndio ama sio. Baada ya hapo ndio inakuja 'the way forward'. Lakini Mkuu kwa mujibu wa hofu yako ambayo hata mimi umeniambukiza nayo, huenda hata swala la Kapombe likawa na sura kama hii. Tusubiri tuone.
 
the acting competitions director of the uganda fa, decolas kiiza, has clarified that fifa cleared striker emmanuel okwi to join tanzanian league champs young africans fc.

“yes we wrote to fifa and they said the player was free to transfer,” kiiza told mtnfootball.com.

Early this week the fa’s chief executive officer, edgar watson, said they had contacted fifa to get more clarification on the issue.

Young africans signed okwi early this week on a two-year deal and yet fifa had provisionally released the player to join local side sc villa from tunisia’s etoile du sahel.

But okwi’s former team, simba sc in tanzania, is also unhappy that the tunisian giants did not pay the full transfer package when okwi moved early this year.

Okwi is expected to fly out to dar es salaam on friday to complete the contract details with young africans and also feature against former side simba sc in a special encounter on saturday.

Allan papaok, a director in the company that has rights over the player, said today that they have not finalised the deal for okwi’s move.

“we might fly there this weekend to conclude the deal,” he added.

However, many football administrators in uganda are wondering how fifa could clear okwi to transfer to young africans, yet he was released on a provisional basis to join sc villa from etoile du sahel, who he claimed were not meeting contractual obligations.

kiiza – fifa cleared okwi move to tanzanian club

cc. Rage.
 
we msukule sijui masuke, simba walishapewa chao na kapokea kaburu, sasa anza kuniuliza sosi sosi. Imekula kwenu

Mkuu kumwita Masuke Msukule hujamtendea haki, vipoint vyake vichanechane kwa hoja tu. Hadi sasa Yanga iko vizuri tu, FUFA wamethibitisha kuwa wana baraka za FIFA Okwi kutua Yanga. Tuwahurumie Simba ili J1 tuwapakate vizuri.
 
Last edited by a moderator:
mmh! nisije nikajiharibia cku bure.acha nikashinde zangu MMU ukizingatia leo ni BD yangu.
 
i can't agree with you more. Ila kwa ninavyoliona, ni jambo dogo sana ukiondoa uzito linalopewa na magazeti. Ni kujua tu iwapo MTS ilitumika ama la. Kama ilitumika. iTC ilitokaje. Haya mengine yote nayaona ni non-issues. Jawabu ni mojawapo kati ya mbili tu, ndio ama sio. Baada ya hapo ndio inakuja 'the way forward'. Lakini Mkuu kwa mujibu wa hofu yako ambayo hata mimi umeniambukiza nayo, huenda hata swala la Kapombe likawa na sura kama hii. Tusubiri tuone.
Ndo maana watu wa mpira wakajiwekea defensive mechanism kwamba mambo ya mpira hakuna kupelekwa mahakama za kawaida na wakajiundia kimahakama chao , la sivyo watu wangekuwa wanakula miaka ya kutosha kuanzia Blatter, Issa Hayatou, Musonye na wengine wote wanaofanana na hao.
 
Mkuu kumwita Masuke Msukule hujamtendea haki, vipoint vyake vichanechane kwa hoja tu. Hadi sasa Yanga iko vizuri tu, FUFA wamethibitisha kuwa wana baraka za FIFA Okwi kutua Yanga. Tuwahurumie Simba ili J1 tuwapakate vizuri.
Mkuu kuna watu wengine wana stress zao za maisha kwa hiyo huwa wanaona kuabuse ni kurelease stress zao, kwa hiyo ni kuwaacha tu wamalize stress zao wasije wakafa kabla ya muda.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana watu wa mpira wakajiwekea defensive mechanism kwamba mambo ya mpira hakuna kupelekwa mahakama za kawaida na wakajiundia kimahakama chao , la sivyo watu wangekuwa wanakula miaka ya kutosha kuanzia Blatter, Issa Hayatou, Musonye na wengine wote wanaofanana na hao.
Kuna mmoja aliwahi, anaitwa Ismael Aden!
 
Kuna mmoja aliwahi, anaitwa Ismael Aden!
'Teh teh teh, yeye ni mbunge bwana gari lake lina bendera ya Taifa, na akipita getini askari anampigia saluti wengine wanapita tu' huyu jamaa ujanja ujanja wake umezidi, kwa hili la Okwi lazima tumtolee uvivu.
 
Nini ubunge? Mwenzake alikamatwa na meno ya tembo. Licha ya ubunge wake, akafungwa na akajiua akiwa anapalilia shamba la magereza. Aangalie asije na yeye akajiua kwa aibu!
 
Naomba nijaribu kuandika kwa tarakimu hiyo Dola Milioni Thelathini Elfu:

$ 30,000,000,000 nadhani niko sawa, ili upate Shilingi za Tanzania zidisha na 1,600/= utapata jawabu. Je hizo ndizo pesa za Mbuyu Twite?

Mkuu hebu cheki na mzee rage. Labda calculator yake inayawezea hiyo makitu..
 
Back
Top Bottom