Wewe ni mwenyeji tu lakini sio raia halali! kama unabisha taja kabila !ako tukupe historia yako maana inaonekana wewe una uraia wa mazoea ila hujui asili yako ni wapi!
Hayo mengine nakuunga mkono lakini ushoga na ubaradhuli! hapo umevuka mpaka! kwani Ushoga ni gonjwa baya kuliko ukimwi na TZ ni lazima Wakristo na Waislamu tuhimize katiba mpya iwe na adhabu ya Kumnyonga anaefanya na kufanywa!
Mimi zamani nilikuwa wakati siwajui wasomali nlikuwa nadhani ni wa2 safi tu, kumbe hawa jamaa wanatuchukia sana sisi wabantu bila ya sababu yeyote ile hawezi kufanya urafiki na mweusi ila msomali au mhindi au mwarabu, sisi ni takataka kwao mbaya zaidi sisi tunajifanya wakarimu wakati ukitoka ukaenda somalia tu hapo utakutana na ubaguzi wa hatari huruhusiwi hata kufanya kazi ya heshima we wanakuita abdi/mtumwa hadi kesho, hata ujumbe wa nyumba kumi hupati sasa iweje sisi tunawapa hadhi kubwa hapa mana mtu ni kwao bwana kote utabaguliwa mwafrika lakini nyumbani unatakiwa uwe bwana sasa kama hata hapa kwetu wao ni mabwana ina maana ndio kusema kweli sisi tumeumbwa tuwe watumwa wao??
Hawa wa2 ni wabaguzi mno wamepitiliza na kama wanakuja hapa walistahili watutumikie na siye lakini badala yake wanatutawala hata hapa kwetu!!sasa sisi tutakuwa wageni wa nani??
Kuuliza uraia sio tatizo, ila inaonekana alieanzisha thread hii inaonekana kakasirishwa na Bw Rage kupata uongozi.
Wengine wanakasirika kabisa na swala la ushoga, wakidai mashoga sio wenzetu, wakisahau kuwa ushoga unasadikika kuanza karne za zamani kabisa, na ulikuwepo hapa bongo hasa Tanganyika hata kabla waarabu au wazungi kuja, mashoga ni wenzetu, watakua wenzetu mpaka tunaiacha hii dunia, hizo raha wanazozifanya wao ni kwa wakati wao, je sheria ya nchi inapiga ushoga? Na kama hamuwataki kabisa hapa nchini basi iwekeni kwenye katiba yenu mnayoitaka, kama itakubalika.
Mkianza kuutaja uraia sijui mtaishia wapi zaidi ya kukuumbua wewe unaotaka kujua uraia wa mwenzako....
Nimemsikia mweshimiwa huyu kwamba eti yeye baba yake ni msomali na mama ake ni mmasai,na kwamba yeye kazaliwa Tabora mbaya zaidi anadai kuwa wakati mama yake rageh yuko kigoli alifiwa na mama yake yani bibi yake rageh mzaa mama na babu yake Rage akakataa kuoa mpaka mama yake rageh aolewe!! swali hivi hili linawezekana kweli kwa wamasai wenye kuoa wake wengi??
Mbaya zaidi mama ake Rage alilelewa na bibi ake aitwae bint ahmed hivi kuna wamasai waislamu kweli miaka hiyo ya 1950??mi naona historia hii ina walakini pili Rage anazungumza kisomali vizuri na hii haiwezekani mpaka baba na mama wawe wanaijua lugha hiyo au kama mzazi mmoja basi lazima atakuwa ni mama mana ndio anaeshinda na watoto,sasa anasema mama yake ni mmasai hivi kuna msomali miaka hiyo ya 50s aliweza kuoa mmasai kweli??mana mtu wa mwisho msomali kuoa ni msomali mwenzake kama akkosa mzungu au mhindi au mwarabu!!
Wamasai waislamu miaka hiyo wapo mfano hai ni bibi yangu mimi, aliyezaliwa kati ya miaka 1918-22,katika wilaya wilaya ya mbulu eneo la Kijiji cha Endamaksi ni muislsmu wa kuzaliwa na alikuwa ni mwenye imani thabit na dini yake hadi mwenyezi mungu alipomtwaa, kwa hiyo imani ya mtu haijalishi anatoka katika eneo gani la dunia
J
Mkuu, unachokisema ni cha kweli kuhusu ubaguzi. Naomba niongezee kwamba si wao tu hata wale wa Sudan kaskazini nao pia. Wote hao mkiwa nje ya Africa hujiita waarabu tena kwa nyodo kali dhidi ya weusi. Nimepata kusoma nao maeneo fulani.
Binafsi na wenzangu tulikuwa tunawasamehe bure, kwani ni sawa na kujifanya tajiri wakati ni maskini wa kutupwa.
Kuhusu urai wa Mhe. Rage, nadhani hakuna wa kuweza kukanusha kauli yake hadi vyombo husika vifanye uchunguzi na viwe fair.
Kila kitu kinawezekana!. Nenda Arusha, mitaa yote mbele ya soko la Arusha ni nyumba za wasomali watupu!, wamezaliwa Arusha, wamekulia Arusha na watafia Arusha! ni Watanzania Wenzetu!.
Nenda umasaini eneo la Ngaramtoni, utashuhudia Wasomali pure, wanaongea Kimasai safi!, wamezaliwa umasaini, wamekulia umasaini na watafia umasaini, ni Watanzania wenzetu!.
Nenda uhindini, kuna watoto wamezaliwa uhindini, wamekulia uhindini lakini hawazungumzi Kiswahili ila ni Wanzania wenzetu!.
Rage ni Msomali Mtanzania mwenzetu!, Kinana ni Msomali Mtanzania mwenzetu na Bashe ni Msomali Mtanzania mwenzetu!. Tusiwasakame bure kutokana na rangi zao!, kuna Warundi, Waganda, Wakenya, Wanyarwanda, Wajaluo, Wazaire, Wamalawi, Wazambia, Wamsumbiji kibao wako kwenye madaraka makubwa serikalini tena wengine mpaka idara nyeti!, wamepose kama Watanzania, hatuwasakami kwa sababu tuu wamefanana na sisi!, kitendo cha kuwasakama Wasomali na Wahindi tuu, huu pia ni ubaguzi mbaya!.
Pasco.
Mkuu faby, mimi ni wakawaida tuu!, wenyewe ma GT wa humu wamo!.Haki ya MUNGU we kweli great thinker! Salute mzazi. 100
Kila kitu kinawezekana!. Nenda Arusha, mitaa yote mbele ya soko la Arusha ni nyumba za wasomali watupu!, wamezaliwa Arusha, wamekulia Arusha na watafia Arusha! ni Watanzania Wenzetu!.
Nenda umasaini eneo la Ngaramtoni, utashuhudia Wasomali pure, wanaongea Kimasai safi!, wamezaliwa umasaini, wamekulia umasaini na watafia umasaini, ni Watanzania wenzetu!.
Nenda uhindini, kuna watoto wamezaliwa uhindini, wamekulia uhindini lakini hawazungumzi Kiswahili ila ni Wanzania wenzetu!.
Rage ni Msomali Mtanzania mwenzetu!, Kinana ni Msomali Mtanzania mwenzetu na Bashe ni Msomali Mtanzania mwenzetu!. Tusiwasakame bure kutokana na rangi zao!, kuna Warundi, Waganda, Wakenya, Wanyarwanda, Wajaluo, Wazaire, Wamalawi, Wazambia, Wamsumbiji kibao wako kwenye madaraka makubwa serikalini tena wengine mpaka idara nyeti!, wamepose kama Watanzania, hatuwasakami kwa sababu tuu wamefanana na sisi!, kitendo cha kuwasakama Wasomali na Wahindi tuu, huu pia ni ubaguzi mbaya!.
Pasco.
Unaonekana una hamu sana ya kuoa Msomali! Lakini ukimpata Msomali au Muhindi uko tayari kula vyakula vyao? Wasomali wanakula vyakula vinono na zaidi mafuta, maziwa ngamia na samli kwa wingi!, Muhindi atakupikia wali uliochanganywa na sukari nyingi, pilipili, jelebi na chai wanatia sukari, chumvi na pilipili kidogo! Jee, uko tayari kula vyakula hivyo?
Msichana wa Kisomali, Muarabu na wa kihindi kwa siku unatakiwa umwachie shilingi 50,000/ kwa ajili ya nyama, mboga, samli, transport, tamutamu, vipodozi! bado gharama zingine! yeye kazi yake ni kukutunza wewe na kukupa raha tu! hakubali kufanya kazi au kulima anataka mfanyakazi wa nyumbani!
Sasa wewe mwenzangu na mimi tuliozoea kuwafanyisha kazi wake zetu tutayaweza haya? kama unamtaka msichana wa kisomali au wa kiarabu usipate shida masharti ni hayo wasiliana na mimi nikuozeshe!
Wacha kelele dunia ya leo imekuwa ndogo sana ni pesa yako tu mkuu!
Wabongo wanashangaza sana yaani unabishania historia ya mtu.Nimemsikia mweshimiwa huyu kwamba eti yeye baba yake ni msomali na mama ake ni mmasai,na kwamba yeye kazaliwa Tabora mbaya zaidi anadai kuwa wakati mama yake rageh yuko kigoli alifiwa na mama yake yani bibi yake rageh mzaa mama na babu yake Rage akakataa kuoa mpaka mama yake rageh aolewe!! swali hivi hili linawezekana kweli kwa wamasai wenye kuoa wake wengi??
Mbaya zaidi mama ake Rage alilelewa na bibi ake aitwae bint ahmed hivi kuna wamasai waislamu kweli miaka hiyo ya 1950??mi naona historia hii ina walakini pili Rage anazungumza kisomali vizuri na hii haiwezekani mpaka baba na mama wawe wanaijua lugha hiyo au kama mzazi mmoja basi lazima atakuwa ni mama mana ndio anaeshinda na watoto,sasa anasema mama yake ni mmasai hivi kuna msomali miaka hiyo ya 50s aliweza kuoa mmasai kweli??mana mtu wa mwisho msomali kuoa ni msomali mwenzake kama akkosa mzungu au mhindi au mwarabu!!
Je Rage sasa hivi mke wake ni msomali au ni wa jamii gani?? Wajuzi mnaomjua vizuri tujuzeni tafadhali.
Uko sahihi mkuuMimi zamani nilikuwa wakati siwajui wasomali nlikuwa nadhani ni wa2 safi tu, kumbe hawa jamaa wanatuchukia sana sisi wabantu bila ya sababu yeyote ile hawezi kufanya urafiki na mweusi ila msomali au mhindi au mwarabu, sisi ni takataka kwao mbaya zaidi sisi tunajifanya wakarimu wakati ukitoka ukaenda somalia tu hapo utakutana na ubaguzi wa hatari huruhusiwi hata kufanya kazi ya heshima we wanakuita abdi/mtumwa hadi kesho, hata ujumbe wa nyumba kumi hupati sasa iweje sisi tunawapa hadhi kubwa hapa mana mtu ni kwao bwana kote utabaguliwa mwafrika lakini nyumbani unatakiwa uwe bwana sasa kama hata hapa kwetu wao ni mabwana ina maana ndio kusema kweli sisi tumeumbwa tuwe watumwa wao??
Hawa wa2 ni wabaguzi mno wamepitiliza na kama wanakuja hapa walistahili watutumikie na siye lakini badala yake wanatutawala hata hapa kwetu!!sasa sisi tutakuwa wageni wa nani??