Kushindwa kubaya sana. Unaweza kumchukia kila mtu. Ni bora hiyo Radio ikapiga Bongo Flavour ili kuwapa Faraja wanyamwezi.
Rage anajifanya hajui historia ya jimbo la Tabora mjini, jimbo hilo ni la 5 yrs only, alikuwepo Prof mgombero, marehemu kaboyonga, yeye mwenyewe Rage anajua kwamba alipewa only 5 yrs,